Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

Men at work

Huenda rafiki yako hatekelezi jukumu lake kama mwanaume .... na kwa sasa bado anaishi ka mvulana - kijana

Usiingilie ya watu hujui wametoka wapi na wanenda wapi ... unless kuna viashiria vya hatari zaidiii vinavyoweza pelekea kifo
 
usiwe chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao. mkuu usijiingiza kwenye ndoa ya rafiki yako acha wapambane na wayamalize wenyewe.
 
Kazindogo ,potezea kama mwezi hivi majibu umeona ujinga umefuta namba

harafu utafute utambulisho tofauti kimawasiliano Kisha tupa ndoani
 
Duuuh Ndoa zina mengi ya kusikitisha na kuogopeshaaa.
Poleee zao, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana nae jamaa yako inaonekana yuko too emotional for now so akikaa sawa na akaja kugundua ulimla mkewe mtauwana.
 
Never ever test anybody, if you want to live safely and peacefully. Mtu anayekwambia hivyo anakudanganya (hakwambii ukweli wote). Hata mimi mwanzoni nilikuwa nikisema "I don't care, hata watu wakimtongoza mke wangu." Lakini nikwambie ukweli ni kwamba "I care and protect her as much as I can." Hivyo, usije ukadanganyika ukafanya kosa la "kutesti"! Ukitesti akakubali, je na wewe hapo hautakuwa umetestiwa na kukubali pia? Unaweza ukamtesti na akakuingia kwenye hisia zako (uka'fall in love with her), halafu na yeye akakubali. Halafu mkaanzisha mahusiano ya kimapenzi, unadhani huyo rafiki yako atafikiri kwamba mlianza siku uliyomtesti au umekuwa mwendelezo tu? Take "great care" bro, usije ukaangamia.
 
Mtu asiye na experience ya ndoa si rahisi kujua ups and downs za ndoa. Baadhi ya watu ni wacheshi na wanaoonekana kama rahisi vile, lakini wana msimamo. Unaweza kufikiri umpitie, lakini utakapothubutu unaweza kuingia aibu ya mwaka, anakutangaza kwa watu na unaweza kuingia mgogoro na mke wako, mkaanza kufarakana kwa sababu tu rafiki yako alikushauri vibaya umtesti mkewe. Acha kabisa kama unataka kuishi kwa amani na uishi maisha marefu. Kuna jamaa nilisikia alifumaniwa mahali wahuni wakamfira, kisha wakampakia kwenye pikipiki hadi nyumbani kwake na walipofika wakamwambia mkewe walichomfanyia. Labda na yeye ilikuwa ni kutesti. Sasa faida gani hiyo?
 
Huyo kwa tabia hiyo ndio maana mkewe analiwa,hana sifa za wanaume rijali
 
Shunie umepotea sana cheupe, umesema jamaa afanyaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ampelekeee moto bwanah si mwenyewe ametaka kuna vitu vya kujaribishana sio kuhusu mume wala mke
 
Mwenyezi Mungu alishasema kwenye vitabu vyake tuishi nao kwa akili wanawake atumie akili yake atapa jibu
 
Jamaa Kama tayari amejua mkewe anamcheat sasa anatafuta Nini kingine Cha ziada
 
Don't risk your manhood..
 
Mkuu mtongoze akikubali mpelekee moto halafu kampe mrejesho wa kila kitu jamaaa yako
Wacheni kumshauri vibaya mwenzenu jamani, huyo ni mke wa mtu hata kama ana mapungufu yake mshaurini asijiingize kwenye matatizo.

Inawezekana huyo rafiki anamshuku yeye huyo na amemtegeshea lakini hajagundua.

Halafu kama mwanamke mwenyewe ni huyo hamuogopi ukimwi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…