Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

Kamuulize Maza yako akushauri
 
Sasa umtafune kwanini,si kakwambia tu ujaribu usikie atakujibuje?,by the way hilo jaribio halifai hata kidogo,usithubutu kutekeleza,si tunaambiwa watakrabu zinaa.
 
sikia sio kumtry tu,we mtry akikubali mle ndipo urejesho mrejesho kwa mumewe kuwa ni kweli
 
Kuna mwamba aliniomba nimtongize mke wake, nikakataa. Huwa wanawaza nini?
 
Sijasoma ila kichwa cha habari tu nakupa jibu wewe mkazie mkewe maana akili take haiko sawa inibidi iwekwe sawa
 
Huyo jamaa yako hana akili ujue

Okota DODO chini chini ya mperaaa....
Nenda kajitafunie ww na nguvu zako tyu....
 
Vidume vya leo wacha wawe MASHOGA TU!
HAWAKUWI! UTOTO MWINGI MNO!
 
Wewe na rafikio wote hamnazo
 
Mtafune kwani huyo jamaa yako ni zoba kabisa, yeye anajua kuwa mkewe anagawa uroda kama taarifa ya habari na bado yuko naye. Mtafune lakini tumia kinga kwani hadi mumwewe anajua kuwa analiwa ovyo huyo siyo safe kabisa.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…