Kuna jamaa yangu kapigwa Milioni 20 na mke wake kamkimbia kamuachia manyoya

Kuna jamaa yangu kapigwa Milioni 20 na mke wake kamkimbia kamuachia manyoya

Hizo mbona kidogo!!?

Pesa makaratasi sio sawa nanuwekezaji wa apartments mkuu!!

Wanawake wanatupiga sana Kwa mgongo wa watoto kulea au kusomesha,kumbe ni wizi wa kijanja!!ni vile tu Mungu Kuna namna alituumba moyoni sisi wanaume!Kuna namna sio bure!!
 
Back
Top Bottom