Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Duh nshajichanganya, nikazihamishe mapeema.Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Mke siyo ndugu yake, kwani alikuwa hajui ?Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Tuishi nao Kwa Akili, Mama mzazi ndio wa kumwamini!Pole yake!Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
😂😂Kaondoka na watoto au hadi watoto nao wameona nyoya ?