Maninho21
Member
- Apr 22, 2022
- 58
- 94
Inaonekana Hakuskiliza..Mwana kajichanganya kwani a kusikiliza nyimbo ya fid Q roho
Inaonekana Hakuskiliza..Mwana kajichanganya kwani a kusikiliza nyimbo ya fid Q roho
Mke alibadilika akawa mwiziMkuu.....
Minaona huyo jamaa yako alioa mwizi, nasio mke.
😂😂Duh nshajichanganya, nikazihamishe mapeema.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwajinsi ulivyo huwez kua na rafiki anaemiliki m20 hata sku moja
Hii stor umeitoa FB
Una namba ya huyo shem darling wako unipatie?Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
huyo hakuwa mke alikuwa malaya. 20m haitamfikisha popote. atatumia na itaisha tena haraka sanaBaada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Wewe ni MUONGOOO kama hizo 20m zingekua za mke wako ukaziiba wewe unaachaje watoto waishije sasa wakati umeacha manyoya tu!??Watoto kamuachia
Looooh😂Kwajinsi ulivyo huwez kua na rafiki anaemiliki m20 hata sku moja
Hii stor umeitoa FB