"Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele."Ipooze unywe
hata mama mwenyewe ana bwana wake anamsikiliza,Tuishi nao Kwa Akili, Mama mzazi ndio wa kumwamini!Pole yake!
Mke wa ndoa au sogea tukae🙆Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Hilo nalo neno,Usijihangaishe na kuhamisha, ishu ndogo sana, badili nywila(password), ili kuondoa mzizi wa fitina.
Daaaaa! Anajiamini sana huyo dadaMke halali
Anakatika mauno kuzid Stability na Financial Analyst labda Hance Mtanashati ndo anaweza shindana nae kwenye kuikatikia lkn Paroco ndo gogo Kabsa anagugumia kama mbuzi anajifunguaKwani huyo mke alikuwa anaikatikia kisawasawa?
Acha uongo we mtoto!Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
We mtoto huoni aibu kutudanganya wakubwa zako asubuhi asubuhi🙆♂️🙆♂️🙆♂️halafu mimi sio mtoto kuwa na heshima
Kizinga gani kidogo hivyo 🤣Bibi kuwa na displine
Au ni wewe umempiga mwanangu kizinga ?