Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
LOLKwajinsi ulivyo huwez kua na rafiki anaemiliki m20 hata sku moja
Hii stor umeitoa FB
LOLKwajinsi ulivyo huwez kua na rafiki anaemiliki m20 hata sku moja
Hii stor umeitoa FB
apelekwe tu.. si ni ufala wakeBora yeye kapigwa milioni 20.kuna jamaa anateka magari ya copper anatishiwa na mkewe kumpeleka polisi kuwa ni jambazi
😆😆😆Mkuu.....
Minaona huyo jamaa yako alioa mwizi, nasio mke.
sorry nimekosea kukoment mkuuKubwa la majambazi
Jamaa una penda Shari sana Huwa nakufananisha na Benjamin netanyahu 😂😂Kwajinsi ulivyo huwez kua na rafiki anaemiliki m20 hata sku moja
Hii stor umeitoa FB
Akachukue sammasBaada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Vita itaanzia hapo ni bora ahamishe kiasi Fulani alafu akausheUsijihangaishe na kuhamisha, ishu ndogo sana, badili nywila(password), ili kuondoa mzizi wa fitina.
Exactly"Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele."
Ukisoma kwa ufahamu hii ni chai iliyochacha.