DUHKwa mtu uliyezaa nae hata 200 achukue endapo atakuwa ameamua kwenda kuishi kivyake ama kwa sababu ajuaye mwenyewe.
Angekuwa amekata dushe la mwamba na kusepa nalo hapo tungelia na mwamba pamoja lakini kwa hili, ni jambo la kawaida sana mwanamke kajilipa gharama za kumfulia boxer na kumpikia.
Aisee kweli kaacha nyoyaWatoto kamuachia
umewaza kama mimiHao walikutana club au kwenye madanguro, wakakubaliana kuishi bila hata ndugu na jamaa kujua.
Usijihangaishe na kuhamisha, ishu ndogo sana, badili nywila(password), ili kuondoa mzizi wa fitina.Duh nshajichanganya, nikazihamishe mapeema.
Haha dah ndo nyie mnao Lilia usawa sioAmeiba au amechukua😎
umewaza kama mimiHao walikutana club au kwenye madanguro, wakakubaliana kuishi bila hata ndugu na jamaa kujua.
Kabisa naunga mkono hojaInaonekana Hakuskiliza..
Mkuu usiulize!Kwani huyo mke alikuwa anaikatikia kisawasawa?
😀😀vumbi na manyoya bora nini?Kaondoka na watoto au hadi watoto nao wameona nyoya ?
wanawake wengine kichwa maandazi tu, mwanamme hajali ata watoto aliowazaa, na anaweza rudi na manyoya😆 anaomba asamehewe !Watoto kamuachia