Tufanye tu mpango arudi mapema maana si kea halo hiiMaza akimaliza atarudi kwao Pemba chap ana tuacha na matatizo yetu
Lini wamelitangaza kuwa tumetoka kwenye uchumi wa kati?Tukiwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hiyo kusema turudi uchumi wa kati.
Tusahau.
Kwa mwenendo huu.
Huyu mzee wa Buyugu akikamata nchi tunarudi kwa marehemu yale yale mambo ya kibabe siyo mtamu sn, tuache maza apige mpk 2025Tufanye tu mpango arudi mapema maana si kea halo hii
Huku ndiyo kwanza tuna ongezewa tozoMarais wanaojitambua👇
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei🐒🐒🐒View attachment 2177448
Petrol itakuwa 8000 per litreTumepata Rais bold anayefuata sheria kama ilivyo, anayetamka mambo openly hata kama hayapendezi masikio.
Rais anayeijenga nchi bila kutafuta cheap popularity. Mpaka 2025 mtamuelewa.
Yanaitafuna nchi haswaStroke wakati mwingine unaongeaga point sana. Hakika hatujaikosea maana kama sisi wananchi tungekuwa tumekosea kwa ninavyowajua hawa maccm wangekupiga mabomu na kutuua kabisa, yaonekana ni tabia yao kufurahia matatizo.
Marais wanaojitambua[emoji116]
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2177448
Hivi ndivyo namna serikali inatakiwa kufanya kwenye situations kama hizi na sio kumfanya maskini kuwa maskini zaidi.Marais wanaojitambua👇
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei🐒🐒🐒View attachment 2177448
Petrol itakuwa 8000 per litre