Tuna unafuu mkubwa Sana kuliko kwa hao ukiowataja,ndio maana serikali bado haioni haja yeyote ya kuanza kujitia kwenye hasara wakati hatujafika critical point..Hivi ndivyo namna serikali inatakiwa kufanya kwenye situations kama hizi na sio kumfanya maskini kuwa maskini zaidi.
Yaani wanahahikisha tunakua mafukara.
Wanabadili heading tu za nguzi jf lakini wanakuta serikali na wananchi wamewapuuza 😂😂Sukuma gang are so desperate to see Samia fails...
Kutangaza ni sehemu ya kutatua,ndio maana Rais huwa anatangaza Hali ya hatari au majanga nk na hili ni sehemu ya mambo hayo,shida yako akili kisoda.Nchi ina Rais goigoi,kazi na wajibu wa Rais ni kutatua changamoto na wala siyo kuwatangazia wananchi kuwa wakae tayari kuteseka kwa changamoto.
Rais anapaswa kuja na majibu ya changamoto na wala siyo kuwapigia wananchi makelele kuwa changamoto zitakuwa nyingi.Tuna Rais goigoi haijawahi kutokea.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Dikteta mbona yeye ndio alikuwa chanzo Cha sukari kupanda Bei,kutoka 1800 per kg Hadi 4000 ilifika, hata mafuta ya kupikia yeye ndio sababu ya kupanda Bei Hadi leo, muacheni mama apige kazi nyie misukule ya bwana yulemaamuz
Hamia chatoKwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
😄😄😄Hali ndio hii na hakuna dalili za jitihada za kuibadili isipokuwa kuongezeka kwa msoto tu kila kukicha.
Njoo nikuoe upunguze ukali wa maisha bibieMaza akimaliza atarudi kwao Pemba chap ana tuacha na matatizo yetu
CCM ndio janga la taifa hili.... wao wamejipanga na vizazi vyao kuitafuna nchi...na nyie raia wanyonge mkiwashangilia na kupiga makofi....Kosa lenu kubwa ni kuikumbatia CCM.
Unaruhusiwa kuchukua uraia wa huko,au tafuta bwana wa kizungu akuoe uhamie huko bintiMarais wanaojitambua👇
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei🐒🐒🐒View attachment 2177448
Hamia chato!Mama atuambie tuhamie nchi gani ili mambo yaende sawa
Nimemtetea sana ila uzalendo umenishinda
Mtaani kwetu lita moja ya mafuta ya kula 7000
Chapati tunauziwa mia 500 badala ya mia 300
Na kazi iendelee sasa
huna akiliHamia chato!
Stroke lazima ianzie kichwani ss hv, wkt wa jiwe mlikuwa na maneno ya shombo sn nyie wafuasi wakeKwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Hata yule aliyesema tusiopenda tozo twende Burundi ataturudisha kwenye Chato regime akiwa Rais.Huyu mzee wa Buyugu akikamata nchi tunarudi kwa marehemu yale yale mambo ya kibabe siyo mtamu sn, tuache maza apige mpk 2025
Huna bunge huru we ulidhani kuharibu bunge unamkomoa mboweKwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
acha tuisome namba ccm mbele kwa mbele.Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.