Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

Tatizo ni watu kuongoza serikali kama familia.... Poor mentality

Hii nchi tutaiacha,, ukiangalia mataifa ya wenzetu serikali zao zinatoa hela ili kupunguza ugumu wa maisha,,, ila sisi hio chance hakuna wakiamini kuwa serikali inaingiza hasara...

Leo mbunge Shabiby ameelezea vizuri sana hili sakata la mafuta,,na nilichogundua ni upigaji ndio umetawala
 
Tuna unafuu mkubwa Sana kuliko kwa hao ukiowataja,ndio maana serikali bado haioni haja yeyote ya kuanza kujitia kwenye hasara wakati hatujafika critical point..

Safi Sana Serikali.Leo hii mafuta so tuu ya magari bali ya kula yamepanda Sana lakini kupanda huko Tzn bado tuna nafuu Sana .

Kama unataka ushahidi soma makala hii ya BBC[emoji116]

View attachment 2177506

View attachment 2177507
Kwahiyo Kenya wakiwa wanakufa njaa na Tanzania wanatakiwa wafe kwa sababu kenya wanakufa ???

Nyinyi ndugu zetu huko majumbani mwenu huwa mnakula vyakula gani vinavyogeuza vichwa vyenu kuwa vifuniko vya shingo ?
 
Dikteta mbona yeye ndio alikuwa chanzo Cha sukari kupanda Bei,kutoka 1800 per kg Hadi 4000 ilifika, hata mafuta ya kupikia yeye ndio sababu ya kupanda Bei Hadi leo, muacheni mama apige kazi nyie misukule ya bwana yule
Kazi ipi ?
 
Mama atuambie tuhamie nchi gani ili mambo yaende sawa
Nimemtetea sana ila uzalendo umenishinda
Mtaani kwetu lita moja ya mafuta ya kula 7000
Chapati tunauziwa mia 500 badala ya mia 300
Na kazi iendelee sasa
Mtaani kwetu lita ya mafuta ni 9500
 
Kwahiyo Kenya wakiwa wanakufa njaa na Tanzania wanatakiwa wafe kwa sababu kenya wanakufa ???

Nyinyi ndugu zetu huko majumbani mwenu huwa mnakula vyakula gani vinavyogeuza vichwa vyenu kuwa vifuniko vya shingo ?
Ndio hatufi sasa mbona unalazimisha tufe?
 
Na iwe tu. Uchumi ulikuwa umeyumba sana huwezi kutoa offer halafu utaendeleza vipi miradi, utalipa vipi watu mafao na mishahara.
Huwezi park gari.
Nyie mnaokula kwa urefu wa kamba hamjui Wananchi tuna Hali gani?
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.

Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.

Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.

Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.

Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.

Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.

Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.

Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.

Saba umeme na maji sio vya uhakika.

Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.

Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.

Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??

Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Kweli Watanzania tuna huruma Sana yani pa1 na kutendewa vibaya na serikali hii bado tunajiuliza sisi ndio tumekosea wapi? [emoji849]
 
Nchi ina Rais goigoi,kazi na wajibu wa Rais ni kutatua changamoto na wala siyo kuwatangazia wananchi kuwa wakae tayari kuteseka kwa changamoto.

Rais anapaswa kuja na majibu ya changamoto na wala siyo kuwapigia wananchi makelele kuwa changamoto zitakuwa nyingi.Tuna Rais goigoi haijawahi kutokea.
Fanya kazi ela ipo acha kutamani taman yasiokuhusu.
 
Nchi ipo kwenye transition mimi binafsi naelewa kinachofanyika utawala uliopita tulifichwa mambo mengi hivyo hatukuwa na ufahamu na serikali iliendeshwa kwa propaganda nyingi sana.
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.

Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.

Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.

Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.

Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.

Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.

Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.

Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.

Saba umeme na maji sio vya uhakika.

Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.

Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.

Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??

Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Allowances zote wanazopata wakitembelea miradi zifutwe kwani wantumia magari ya serikali na kukirimiwa na viongozi waendako. Turudi early sixties ukitaka ubunge uwe unajitolea kuwaletea wananchi maendeleo na sio kujitajirisha
 
Jikite zaidi kwenye kufanya kazi kwa faida yako hivyo vilio sisi tunakuona ni kituko tu,hili ni suala la mpito tu na sio Tanzania tu ni dunia nzima.
 
Serikali inatakiwa ku - cut off some spending kwenye baadhi ya maeneo ambayo hayana athari za moja kwa moja kwa maisha ya watu na kinachokuwa saved kutolewe kama subsidy kwenye sekta ya umeme na mafuta ili kuleta nafuu ya maisha kwa wananchi..

Mathalani tunaweza ku - cut off spending kwenye maeneo haya inagalau ktk kipindi hiki cha mpito wa hali ngumu ya kiuchumi:

1. Ondoa au fupisha vikao vya bunge la bajeti toka miezi mi3 hadi wiki 2 tu.

2. Ondoa safari zote zisizo za muhimu za viongozi..

3. Futa hiki kinachoitwa "mbio za mwenge wa uhuru" kabisa.

4. Futa warsha na semina zote zisizo na umuhimu.

5. Suspend kutoa pesa kwenye baadhi ya miradi inayoendelea sasa. Hapa umakini ni muhimu sana kwa sababu projects hizi mara zote huhusisha mikataba ya kimataifa..

##Kwa kufanya haya, mabilioni ya fedha yataokolewa na hizo fedha sasa zifanye haya;

1. Zitolewe kama subsidy kwenye maeneo ya huduma hususani kwenye sekta ya mafuta na umeme ambazo zinaathiri maisha ya watu kila siku..

2. Lipa marupurupu na mishahara mizuri kwa watumishi wa umma na binafsi ili fedha hiyo in return iingie kwenye mzunguko wa uchumi, ichangamshe uchumi..

## Mimi siyo mwana uchumi, lakini UONGOZI ni bongo/akili tu ya kufikiri na kupanga mipango mizuri inayotekelezeka

## Na kama hizi steps zitachukuliwa, mwananchi wa kawaida hawezi ku - feel au ata feel maumivu haya ya kiuchumi kidunia kwa kiwango kidogo sana..!!
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.

Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.

Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.

Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.

Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.

Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.

Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.

Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.

Saba umeme na maji sio vya uhakika.

Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.

Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.

Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??

Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.

wananchi wanakosea kuwapa kundi la wajinga Kura na kundi hilo la wajinga likipata Kura , linageuka kuisimamia serikali yenye watu wanaojielewa. Kosa linaanzia hapo​

Back
Top Bottom