Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

Cha ajabu gharama ya mafuta kwenye hizo nchi ni kubwa kuliko huku kwa unayesema hajitambui.
Nchi ina Rais goigoi,kazi na wajibu wa Rais ni kutatua changamoto na wala siyo kuwatangazia wananchi kuwa wakae tayari kuteseka kwa changamoto.

Rais anapaswa kuja na majibu ya changamoto na wala siyo kuwapigia wananchi makelele kuwa changamoto zitakuwa nyingi.Tuna Rais goigoi haijawahi kutokea.
 
Hivi ndivyo namna serikali inatakiwa kufanya kwenye situations kama hizi na sio kumfanya maskini kuwa maskini zaidi.

Yaani wanahahikisha tunakua mafukara.
Tuna Rais goigoi haijawahi kutokea!
 
CCM ni wapuuzi sana mojawapo ukiwa ni wewe.

Wenzenu wanapigania katiba ya nchi ili kuondoa uwezekano wa wakojani kuwaongoza watanzania wakati hawana uchungu na maisha yao nyie mmebakiza kutoa sifa tu kwa mtu ambaye kila siku anapandisha ugumu wa maisha ya wazee na ndugu zenu huko vijijini kisa nyinyi mna access na mkate walau wa kila siku.

Nakushauri uibadili title yako iwe " Tumewakosea nini CCM ?"
 

We ni goigoi zaidi uliyenunua kitu huwezi kumudu.
Kapiga kelele au kawapa facts, kataa lakini ndo kasema tozo irejee. Na hela za REA zinakatwa palepale.
 

Nyie na ubaguzi wenu ndio maana hamtakaa mshinde uchaguzi.
 
Wananchi ndio wenye nchi,hatuwezi kuikosea serikali,
Ukiona tunateseka,ujue serikali imejaa majambazi,na hili limama letu sasa hv limeanza kuonyesha rangi yake kamili,mipasho kibao,huyu mama hakufaa kuwa Raisi,ukimsema boss wako kwamba,"alikuwa Simba wa yuda mwenye sharubu"ni utovu wa nizamu sana,marehmu hawezi kujitetea,Haina maana ya kumsema.
 
Nyie na ubaguzi wenu ndio maana hamtakaa mshinde uchaguzi.
Ubaguzi upi kuna matanganyika amewahi kuongoza huko katikati ya bahari ?

Acheni ujinga nchi ni yetu siyo ya watu wa kuja.

Mtu hana uchungu na maisha ya wananchi kwa sababu kwao kuna unafuu kila siku bidhaa zinapanda hakuna hatua inayochukuliwa ni kwa sababu hawana uchungu na maisha ya wanaowaongoza.
After all they are mere mercenaries they don't care.
 
Ukwel mchungu lazma usemwe,yule kiumbe alikuwa na roho mbaya sana
 
Kosa lenu kubwa ni kuikumbatia CCM.
Ukisema hivi watu watakubishia,lakini huu ni ukweli mchungu.Ccm wako busy kugawana vyeo.Yeye mwenyewe rais mawazo yake yote yako kwenye uchaguzi tu.Hivi kweli hakuna kitu serikali yaweza kufanya kupunguza ukali wa maisha?Nchi zote duniani serikali zao zimeacha mambo yaende kama huku kwetu?
 
Viongozi wajuwe tumewapa dhamana ya kutuongoza lakini haimaanishi tusiyokuwa viongozi hatujuwi.Wajuwe tunawasikiliza tunaishia kusema laah.Vita ya urus imekuwa kero na kizingizio mbona kabla yalikuwa yanapanda nje na sababu ya vita,halafu baadhi ya viongozi walewale toka sisi tupo shule ya msingi inamana wao ndiyo watalam zaid hakuna wengine nchi hii?
 
Kama thinking ya watawala ni kuongeza hela katikamkila huduma ili wapate za kufanyia miradi yao unategemea nini? hakuna ubunifu wao kwakua wana miposho kibao na wala hawana shida za kimaisha hawaoni kama ni ishu, na hiyo ndio Bongo , ukilalamika unaambiwa kama hutaki hamia Burundi. Tukubali tu kwamba tumepigwa na kitu kizito kichwani basi.
 
Tuliikosea Kwa kuwa waimba mapambio ya kusifu na kuabudu enzi Ile,Sasa ni zamu ya kulipia dhambi hiyo🤸
 
Na mimi mwenyewe nabaki kujiuliza mtoa mada una Nia gani kwa uzushi na uongo wenye mlengo wa chuki!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…