Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Ngoja nikutell kitu kizuri..

Mambo mazuri siku zote yanafanyika Kimya kimya na si Kupayuka..

Chunguza..
Kuwa na Uhakika.. (Si lazima uhakika)

Karipot Polisi.. (Kituo Kikubwa)

Matokeo ya ripot yako huko polisi ndio Uilete hapa JF.

Ukianza kuandika JF.. et "Mimi nipo Sinza mtaa wa Mugabe.. nyumba namba 234.. kuna jirani yangu namuhisi ni JAMBAZI.." unahisi ni sahihi?
Mkuu vyote ni sahihi maana ni njia ya kupashana habari. Nitasema jf sababu ni sehemu yenye inayotukutanisha watu wengi nitapata ushauri hapa namna ya kukabiliana na huyo jambazi, niasema polisi maana yake na reporty muhalifu.
 
Lakini humu Hakuna taarifa yoyote itakayo haribu intelejensia, Hakuna chochote maana km tukio limetokea Hakuna namna nyingine ya kusema halijatokea!!

Kumbuka military Intelligence inajitegemea haina uhusiano moja kwa moja na civilian ,
Point ni kwamba.. WATANZANIA kwa KU-unda Habari../Umbea...l Uongo.. na kuongea mambo ambayo mtu hana Uhakika nayo Tunaongoza.

Kila mtu ataongea lake.. unadhan Wananchi wakipata PANIC ni sahihi? Si unaona watu wame relax as if HAKUNA kilichotokea huko Mtwara? Unahisi.. MEDIA zingeanza Kubwabwaja ovyo.. Utulivu ungekuwa Hivi?
 
Hata wao ni woga tu, kama unavamia kijiji chenye watu 200 mnakwenda magaidi zaidi ya 300 halafu mnajisifia kuua wasiokukosea kwa kisingizio cha kumpigania Allah, huku mnaiba fedha chakula, mnabaka, na kulawiti hakuna dini ya hivyo watoto hao wamejengewa saikolojia ya uwongo wakifa wanadhani kweli wana malipo kwa Allah kumbe ni Al-khawariji tu, wote watalipishwa uovu wao hakuna hata wa kuiona pepo hapo, na watu wakiacha ujinga wakaamua kuungana na kuwafurusha watakwisha kma walivyokimbia Somalia na Kenya, ishu ni watu kuacha kuwaogopa hata wao wanaogopa pia ndio maana wakata binadaam vichwa ili kuzidi kutishia watu wawaogope, wakibananishwa vizuri nao sisi wakristo tukaungana tutawakata nao vichwa kama wanavyotishia, waache kutumia dini kuiba mali na wake za watu, jihadi ilikwishamalizwa na Nabii Muhammad, hawa ni wezi tu, Umoja ni ushindi.

We jamaa umesema vyema, ila sasa jamaa wanasumbua na madhara ni makubwa sana kama hawa husababisha. Hawapaswi kupuuzwa wala kuchukuliwa pouwa.
 
Kwa taarifa nilizopata jamaa wamejipanga balaaa Wana siraha nzito Sana Ila kesho letu pia jwtz limejipanga na siku za karibuni wamepiga shambulio yani ambush nasikia Kuna komando wetu amedondoka

Daah hili sio issue ndogo jeshi inabidi lizame mazima aiseee
 
Hata wao ni woga tu, kama unavamia kijiji chenye watu 200 mnakwenda magaidi zaidi ya 300 halafu mnajisifia kuua wasiokukosea kwa kisingizio cha kumpigania Allah, huku mnaiba fedha chakula, mnabaka, na kulawiti hakuna dini ya hivyo watoto hao wamejengewa saikolojia ya uwongo wakifa wanadhani kweli wana malipo kwa Allah kumbe ni Al-khawariji tu, wote watalipishwa uovu wao hakuna hata wa kuiona pepo hapo, na watu wakiacha ujinga wakaamua kuungana na kuwafurusha watakwisha kma walivyokimbia Somalia na Kenya, ishu ni watu kuacha kuwaogopa hata wao wanaogopa pia ndio maana wakata binadaam vichwa ili kuzidi kutishia watu wawaogope, wakibananishwa vizuri nao sisi wakristo tukaungana tutawakata nao vichwa kama wanavyotishia, waache kutumia dini kuiba mali na wake za watu, jihadi ilikwishamalizwa na Nabii Muhammad, hawa ni wezi tu, Umoja ni ushindi.
Hahaha maalimu umenikumbusha hili neno "KHAWARIJI" dah haya mapote mengine yanautia aibu Uislamu .
 
Jwtz waimarishe tu Mpaka... Wakianza kushambuliana kwa makombora hao magaidi watahamia kitaani yawe mambo kama ya Kenya....
 
Jwtz waimarishe tu Mpaka... Wakianza kushambuliana kwa makombora hao magaidi watahamia kitaani yawe mambo kama ya Kenya....
 
inawezekana na wewe hujui kitu, hizo ni propaganda tu, watuonyeshe hao raia walioumia, kumbuka hao wapuuzi wanatumia raia wanaokamata kama cover yao, kama huijui Tz na nguvu yao kijeshi basi kasome tena vita hawajaanza leo eti wafundishwe jinsi ya kurusha bomu. tulia dawa ziwaingie, si wamechokoza? kumbuka Idd amini naye alidanganya kujificha kwa raia kipindi kile.......
Katika uwanja wa vita mabomu huwa hayatupwi hovyo kama jiwe.Kurusha bomu mahali ni lazima uwe na precious technology ili kupunguza causalities lakini Tanzani wamerusha bomu kama mtu anaebahatisha kwa jiwe na kusababisha madhara ndiyo maana huyo mwandishi wa habari amelishangaa jeshi la Tanzania.Kwenye hili mwandishi wa habari yupo sahihi
 
Kilichopo tu ni kwamba baada ya 'Wahuni' hawa 'Wanamgambo' kuondolewa na JWTZ kwa 'style' ambayo hawatakuja Kuisahau huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji 'walipoichokoza' Tanzania baadhi yao hasa wale Waandamizi wao walikimbilia nchini Msumbuji ambako ndiko kuna Ngome yao Kuu na hata walipokuja huku Pwani na kule Amboni Tanga walitokea huko huko.

Taarifa nilizothibitishiwa na Chanzo kutoka katika 'Kikosi Maalum' ni kwamba hawa 'Wahuni' wanatamba na kusumbua sana tu huko nchini Msumbuji japo kwa miezi kama Saba ( 7 ) hivi iliyopita walikuja maeneo ya mpakani na Tanzania ila kutokana na 'Intelligence' imara ya Tanzania na ile ya Jeshini ( CMI ) waliweza 'Kudhibitiwa' na wakakimbilia huko 'Ngomeni' Kwao Msumbiji.

Na ni kweli kwamba 'Wahuni' hawa ( ambao ni Wanamgambo ) wana 'Vifaa' vikubwa tu na uwezo mkubwa wa Kivita hasa hii ya Msituni ( Guerrilla ) na 'Mafunzo' makubwa sana ya 'Kivita' hali ambayo imefanya mpaka wameweza 'Kupambana' vilivyo na 'Jeshi' dhaifu kwa sasa la Msumbiji na kuweza kuteka Bandari muhimu huko ambayo inawasaidia Kuwaingizia Kipato na 'Kutamba' pia.

Kuna taarifa tulipewa kuwa Wanajeshi wa Tanzania ( JWTZ ) sijui 'wametekwa' na Kukimbia hadi Kukiacha 'Kifaru' huku tukiaminishwa kwa 'Video' ila ukweli ni kwamba kilichoonekana siyo 'Kifaru' bali ni 'APC' nadhani wale Watu wa 'Medani' hapa mtakuwa mnaelewa na si vibaya pia mkija kutusaidia zaidi 'Kutuelimisha' juu ya hiki Chombo.

Kuhusu Picha ( Poster ) ya Mgombea Urais wa CCM ( sasa ni Rais ) Dkt. Magufuli kuonekana kwa hawa Wahuni ( Wanamgambo ) ni sehemu tu ya 'Propaganda' ya Watu wenye 'Chuki' na Tanzania na hasa ikiwa inaelekea katika Uchaguzi Mkuu huu ujao kama 'Kuichafua' na hata Kuzua 'Hofu / Tafrani' miongoni mwa Watanzania na hasa hasa Wakazi wa huko Mtwara.

Tumeambiwa kuwa kuna Watanzania 'waliokufa' huko na kwamba hali ni ya 'wasiwasi' mno huko Mkoani Mtwara hasa eneo la Nanyamba ila ukweli ni kwamba eneo liko salama kabisa tena 100% na hakuna 'Mauwaji' yoyote yale isipokuwa Jeshi la Tanzania ( JWTZ ) kwa Kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vimeendelea tu 'Kuimarisha' Usalama huko.

Kilichonishangaza zaidi GENTAMYCINE ni kwamba nina Ndugu zangu huko na nimefanya 'Jitihada' za 'Kudadisi' kama kuna 'sintofahamu' ya aina yoyote ile inayohatarisha Amani huko ( kama tunavyoaminishwa ) nilichojibiwa tu ni kwamba Mtwara iko salama. Na nawaombeni nanyi wana JF pia mjaribu Kuwasiliana na Watu wenu huko ili muweze 'Kujihakikishia' juu ya hili.

Nimalizie tu kwa Kuishukuru Serikali ya Tanzania chini yake Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Magufuli pamoja na Vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania kwa 'Kupuuza' na Kuunyamazia 'Uzushi' huu ambao 'unaratibiwa' vyema kabisa na wale wasioitakia mema nchi yetu na kutaka kuleta 'taharuki' hasa wakiwa na lengo la Kuitia nchi 'Doa' la Kiusalama na Amani yake.

Asante sana na mno Wewe 'Chanzo Changu' kutoka hapo 'Kikosi Maalum' juu ya hili na Mimi nimeamua 'Kushea' hapa na Watanzania wenzangu.
Ila wewe ni liongo lililokubuhu.

Watu wanakufa huko wewe unaleta story zako hapa,unachoweza ni kuongelea habari za Simba na Yanga tu mengine kausha.
 
Jeshi la Tanzania ni hopeless sinner!Wanachojua kufanya ni kuua raia wasiokuwa na silaha huko Zanzibar.Period!
ficha ubwege wako, kwa hiyo kwa vile una chuki na jwtz ndio uwaunge mkono wahuni hao wa msumbiji?
 
huyu

huyu bwege sana, wananchi wetu wanachinjwa na hao wahuni wakitokea hukohuko wanawaficha halafu mnataka tuwaonee huruma? vita haina macho raia waondoke uwanja wa mapambano....watuachie hao mbwa
Exactly, kwanini wakubali kuwa 'human shield' kwa kuacha magaidi wajifiche miongono mwao?!, wawacheue hao magaidi waliochinja watu wetu au waondoke hilo eneo wawaache hao magaidi peke yako, ili tuwabinye vizuri!
 
Tumemaliza uchaguzi salama tunasuburi afande Magufuli aapishwe kwanza hao wa Msumbiji wakimaliza mwezi toka kuapishwa kwa Magufuli muni tag.
 
Katika uwanja wa vita mabomu huwa hayatupwi hovyo kama jiwe.Kurusha bomu mahali ni lazima uwe na precious technology ili kupunguza causalities lakini Tanzani wamerusha bomu kama mtu anaebahatisha kwa jiwe na kusababisha madhara ndiyo maana huyo mwandishi wa habari amelishangaa jeshi la Tanzania.Kwenye hili mwandishi wa habari yupo sahihi
Hakuna cha precision wala cha nini, kwanini wanafuga magaidi???!!! Hii ndio adhabu yao kwa kosa la kufuga magaidi nchini mwao, wakome!!!!!
 
Back
Top Bottom