We muache tu alete ushabiki.Mmoja kachinjwa na kuporwa kifaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We muache tu alete ushabiki.Mmoja kachinjwa na kuporwa kifaru
Hivi vikundi vya kigaidi havina mbabe kabisa.
Tena hao JW unaowataja wanaweza wakawa wabovu zaidi.
Mpaka leo licha ya Israel kuwa na Teknolojia kubwa lakini bado inahaha na mambo haya.
Ni kuomba Mungu aepushe suala hili.
Ehee wameona Msumbiji hapatoshi.
Ngoja tuone JWTZ watafanya nini.
Daaah nilishangaa Sana kuona thread imekuwa locked, Sasa wanairuhusu muda ushapita na imekuwa c habari tenaJf is joke nowdays, hii taarifa ilikuwa hapa mapema sana, mkaishia kuifungia, sasa mmeifungulia ya nini?
Avatar yako inasanifu usemayo.Mimi naombea nafsi yangu na familia yangu tu. Hao wanajua wanachokitaka, inabidi tuwape ili yaishe
Kuna tetesi wameingia dar slam nKuna INTELIJENSIA ya JESHI
KUNA taarifa sio za KUSAMBAZWA ovyo.. na nashangaa watu kuilalamikia JF kuzuia NYUZI za Tukio la MTWARA..
(hii ni Nchi ya Amani.. endapo Utaachia kila MTU aandike anachojiskia.. ndipo hapo MBWA Anapotea kwa Miruzi Mingi)
Kuachia Taarifa Nyeti za tukio zisambae kunaibua TAHARUKI kwa Wananchi.. na ukizingatia TUPO ktk UCHAGUZI.
Hao Magaidi/Waasi.. watakuwa TAYARI washamalizwa MUDA mrefuu sana...
Na TAARIFA za kijeshi zinaenda CHINI kwa CHINI..
(wanabanwa.. wanafinywa.. Wanafukiwa KIMYA KIMYA..)
Hamtaskia fyoko fyoko tena
Kiuhalisia Wapo kila Mahari..Kuna tetesi wameingia dar slam n
SawaKiuhalisia Wapo kila Mahari..
Huoni hii uliyosema hapa inakinzana na maelezo yako ya awaliNgumu Kuzuia Uasi Kutokea.. uwepesi ni Jamii kuibua hao Waasi..
Kutoa Taarifa pale mnapohisi Mtu msiyemwelewa.. (Kwa wanaoishi Ktk Majiji Makubwa Tunatambuana Mienendo yetu)
Hii itapunguza Uwezekano wa Mashambulizi Ktk Miji mikubwa
Kwa Wale wa Maporini.. ndio Ngumu
kuiacha INTELIJENSIA ifanye kazi yake usiku na Mchana na Kumuomba Mungu
Inakinzana wapi..? Soma kwa Sauti.. na kwa MakiniSawa
Huoni hii uliyosema hapa inakinzana na maelezo yako ya awali
Nipo makini ndo maana nimekuuliza, umesema "Kuachia Taarifa Nyeti za tukio zisambae kunaibua TAHARUKI kwa Wananchi.. na ukizingatia TUPO ktk UCHAGUZI."Inakinzana wapi..? Soma kwa Sauti.. na kwa Makini
Nikuulize Swali.. ukimjua JAMBAZI mtaani kwako utakuj kutangaza JF au kwenda KITUO cha polisi?Nipo makini ndo maana nimekuuliza, umesema "Kuachia Taarifa Nyeti za tukio zisambae kunaibua TAHARUKI kwa Wananchi.. na ukizingatia TUPO ktk UCHAGUZI."
Hapo hapo ukasema"
Ngumu Kuzuia Uasi Kutokea.. uwepesi ni Jamii kuibua hao Waasi..
Kutoa Taarifa pale mnapohisi Mtu msiyemwelewa.. (Kwa wanaoishi Ktk Majiji Makubwa Tunatambuana Mienendo yetu)"
Nakuuliza tutaibua vipi hayo maasi kama vyombo vya habari vikifungwa midomo?
Nitasema jf na polisi nitakwenda piaNikuulize Swali.. ukimjua JAMBAZI mtaani kwako utakuj kutangaza JF au kwenda KITUO cha polisi?
Ngoja nikutell kitu kizuri..Nitasema jf na polisi nitakwenda pia