Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Mkuu vyote ni sahihi maana ni njia ya kupashana habari. Nitasema jf sababu ni sehemu yenye inayotukutanisha watu wengi nitapata ushauri hapa namna ya kukabiliana na huyo jambazi, niasema polisi maana yake na reporty muhalifu.
 
Lakini humu Hakuna taarifa yoyote itakayo haribu intelejensia, Hakuna chochote maana km tukio limetokea Hakuna namna nyingine ya kusema halijatokea!!

Kumbuka military Intelligence inajitegemea haina uhusiano moja kwa moja na civilian ,
Point ni kwamba.. WATANZANIA kwa KU-unda Habari../Umbea...l Uongo.. na kuongea mambo ambayo mtu hana Uhakika nayo Tunaongoza.

Kila mtu ataongea lake.. unadhan Wananchi wakipata PANIC ni sahihi? Si unaona watu wame relax as if HAKUNA kilichotokea huko Mtwara? Unahisi.. MEDIA zingeanza Kubwabwaja ovyo.. Utulivu ungekuwa Hivi?
 

We jamaa umesema vyema, ila sasa jamaa wanasumbua na madhara ni makubwa sana kama hawa husababisha. Hawapaswi kupuuzwa wala kuchukuliwa pouwa.
 
Kwa taarifa nilizopata jamaa wamejipanga balaaa Wana siraha nzito Sana Ila kesho letu pia jwtz limejipanga na siku za karibuni wamepiga shambulio yani ambush nasikia Kuna komando wetu amedondoka

Daah hili sio issue ndogo jeshi inabidi lizame mazima aiseee
 
Hahaha maalimu umenikumbusha hili neno "KHAWARIJI" dah haya mapote mengine yanautia aibu Uislamu .
 
Jwtz waimarishe tu Mpaka... Wakianza kushambuliana kwa makombora hao magaidi watahamia kitaani yawe mambo kama ya Kenya....
 
Jwtz waimarishe tu Mpaka... Wakianza kushambuliana kwa makombora hao magaidi watahamia kitaani yawe mambo kama ya Kenya....
 
inawezekana na wewe hujui kitu, hizo ni propaganda tu, watuonyeshe hao raia walioumia, kumbuka hao wapuuzi wanatumia raia wanaokamata kama cover yao, kama huijui Tz na nguvu yao kijeshi basi kasome tena vita hawajaanza leo eti wafundishwe jinsi ya kurusha bomu. tulia dawa ziwaingie, si wamechokoza? kumbuka Idd amini naye alidanganya kujificha kwa raia kipindi kile.......
 
Ila wewe ni liongo lililokubuhu.

Watu wanakufa huko wewe unaleta story zako hapa,unachoweza ni kuongelea habari za Simba na Yanga tu mengine kausha.
 
Jeshi la Tanzania ni hopeless sinner!Wanachojua kufanya ni kuua raia wasiokuwa na silaha huko Zanzibar.Period!
ficha ubwege wako, kwa hiyo kwa vile una chuki na jwtz ndio uwaunge mkono wahuni hao wa msumbiji?
 
huyu

huyu bwege sana, wananchi wetu wanachinjwa na hao wahuni wakitokea hukohuko wanawaficha halafu mnataka tuwaonee huruma? vita haina macho raia waondoke uwanja wa mapambano....watuachie hao mbwa
Exactly, kwanini wakubali kuwa 'human shield' kwa kuacha magaidi wajifiche miongono mwao?!, wawacheue hao magaidi waliochinja watu wetu au waondoke hilo eneo wawaache hao magaidi peke yako, ili tuwabinye vizuri!
 
Tumemaliza uchaguzi salama tunasuburi afande Magufuli aapishwe kwanza hao wa Msumbiji wakimaliza mwezi toka kuapishwa kwa Magufuli muni tag.
 
Hakuna cha precision wala cha nini, kwanini wanafuga magaidi???!!! Hii ndio adhabu yao kwa kosa la kufuga magaidi nchini mwao, wakome!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…