Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

Kama wamefikishwa hapo kwa Hisani ya machawa ya kibantu ni sawa tu. Ila kwa nini hakuna mzungu mwenye asili ya Tanzania kwenye top Ten au wazungu wao hawaoni umuhimu
 
Wahindi waliojenga reli sio hawa Matajiri wa Tanzania. Kama hufahamu waziri mkuu wa Sultani Karne ya 19 aliitwa Tharia topan alikua ni Ismailia toka Gujarati India, Sultan alikua Hana ukwasi kama hawa wahindi, aliwapa mazingira mazuri ya Biashara ili wahamie Znz wakati huo.

Sultani aliponunua kijiji cha uvuvi hapa Dar akawaweka hao wahindi, kina Aga khan wakaitwa ndio wakaijenga Dar, Aga khan alikua na pesa Sana yeye akafanywa ndio msimamizi wa Mali zote wakati huo.

Hawa wahindi wote walikua na Root moja wakagawanyika, Ismailia na mabohora, hawa Ismailia kiongozi wao zilienda Sana na Nyerere wakapewa vyeo vikubwa Sana serikali ya Nyerere na mpaka Leo wengi Wana vyeo nyeti na ni wasomi wakubwa. Diamond jubilee ni alama Yao kubwa na chai aliyonipa Mzee wangu ni kwamba walipofungua Hilo Jengo walidonate almasi nyingi Sana kwa Nyerere.

Upande wa pili mabohora hazikuenda na Nyerere, hawa jamaa hela zao huwa wanampelekea shehe wao Quba, kulizuka ugomvi mkubwa baina Yao na Nyerere na baadhi ya Mabohora kuwasaliti wenzao.

Pia waajemi Wana predate Waarabu na Asilimia kubwa ya wabantu hapa pwani, watu pekee ambao ni wa Mwanzo kabla ya wa Ajemi ni kushite tribes kama warangi, wairaqw etc kuna studies siku hizi zinaonesha makabila ya pwani kama wamakonde, Wazaramo etc DNA zao mpaka Asilimia 50 ni za ki Ajemi, waajemi wamekuja zaidi ya miaka 1000 iliopita na waarabu kama miaka 500 iliopita.
Kwa namna ulivyoharibiwa akili na kuwa brainwashed sishangai unavyosema waajemi ndio wakazi wa asili wa Tanganyika na wabantu ni wageni wa kuja tu, haya ni mawazo ya hovyo sana kwamba kuyasikia, ni kufuru na usaliti. Kuna uwezekano mkubwa wewe ni muajemi au Mwarabu kwa hiyo damu imekuwa nzito kuliko maji.
 
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.

Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Kwa hiyo serikali iwafanyie hao waburushi, wahindu, waarabu kama alivyofanya Rais Nyerere?
 
Asilimia kubwa ya wabantu hapa pwani, watu pekee ambao ni wa Mwanzo kabla ya wa Ajemi ni kushite tribes kama warangi, wairaqw etc kuna studies siku hizi zinaonesha makabila ya pwani kama wamakonde, Wazaramo etc DNA zao mpaka Asilimia 50 ni za ki Ajemi, waajemi wamekuja zaidi ya miaka 1000 iliopita na waarabu kama miaka 500 iliopita.
Acha upotoshaji.
 
Kwa namna ulivyoharibiwa akili na kuwa brainwashed sishangai unavyosema waajemi ndio wakazi wa asili wa Tanganyika na wabantu ni wageni wa kuja tu, haya ni mawazo ya hovyo sana kwamba kuyasikia, ni kufuru na usaliti. Kuna uwezekano mkubwa wewe ni muajemi au Mwarabu kwa hiyo damu imekuwa nzito kuliko maji.
Mimi sifichi asili yangu mkuu na wala sio mnafiki nimemix mwarabu na local, na wa Ajemi na waarabu sio allies kama hujui, chama kilichofanya Mapinduzi kinaitwa Afro-Shirazi party, Shirazi ikimaanisha hao wa Ajemi.
Pia sijasema hakukua na wabantu, Ila nimesema majority ya wabantu. Makabila ya pwani ya kibantu Baba zao wengi ni wa Ajemi, huu utafiti umefanywa na pro Bantu profesa, ni fact ambayo haihitaji ubishi unless unataka Tu kubishana

41586_2023_5754_Fig2_HTML.webp

Table inayoonesha DNA kuanzia pwani ya Tanzania mpaka Kenya na Msumbiji
Source hapa

Kusoma Historia ya pwani ya Africa Mashariki watu wa Mwanzo kabisa ni Cushite tribes kama Warangi na Wairaqw hawa walikua maeneo ambayo inakisiwa ni Pangani ama Bagamoyo ya Leo kuliitwa Raphta

Historians wanakubaliana hakukua na Bantu speakers Karne ya Kwanza pwani ya Africa Mashariki. Hao Cushite tribes ndio wakaanza kutrade na Asia.

Baadae wabantu wakaja na wa Ajemi wakaja baada ya mwana mfalme wa Persia kukosa ufalme akakimbilia huku, wabantu na wa Ajemi wakazalisha hawa Swahili elites ambao babu zao walitoka huko uajemi.

Swahili elites wametawala pwani kwa miaka zaidi ya 1000 even Sultan alivyokuja hakuwagusa, kuelewa how powerfull walikua Tipu Tipu alienda Congo na kuunganisha makabila wakampiga Ubelgiji, hapa Tanganyika kila Mangi Meli, mkwawa, Abushiri etc ilikua ni movement hio hio waliwapiga wajerumani bila huruma, wote wakaja kupigwa kwa kusalitiwa.

So Historia ipo, well documented.
 
View attachment 3556768

Abdu Shiraz kumbe una undugu na Rostam mwanangu.
 
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.

Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Wengi wanatumika kutakatisha pesa
 
Abdu Shiraz kumbe una undugu na Rostam mwanangu.
Rostam ni mbulushi, ni Tofauti na washirazi, Wabulushi wapo baina ya Iran, Pakistan na Afghanistan.

Wabulushi ni Askari wa Waoman.

Karne ya 15 wakati Wareno wanaua na kuplunder pwani ya Africa Mashariki, hawa Swahili Elites walikua hopeless na wakaomba msaada, sababu walikua ni waisilamu wakaomba msaada kwa Ottoman, Ottoman wakatuma Jeshi kuja kuwakomboa nao wakapigwa na Wareno.

At same time Sultan alipinduliwa Oman akakimbilia maeneo hayo ya wahindi na wabulushi, wakampa Ardhi akakusanya Kodi na akapewa Jeshi la wabulushi akakomboa nchi yake, Wakaja Wareno wakapigwa na wabulushi, then waswahili wakaomba msaada kwa sultan ndio wakaja huku Karne ya 15 na kumpiga mreno.

So wabulushi Tofauti na wa Ajemi walikuja Karne ya 15 kama mercenaries kupigana na mreno.
 
Katika jicho la kawaida ni sawa na kusema uchumi umeshikiliwa na wageni(let's call a spade chepe tu)

Hawa jamaa hata kukitokea machafuko they fly abroad, Canada nk. So ni kama uchumk wetu umeshikiliwa na wageni tu.
It depends wahindi sio wapambanaji ila watu kama wabulushi, Descendants wa waarabu na wa Ajemi wengi ni fighters,

Huyo rostam usione Tu watu wanasema ana roho mbaya , by Nature wabulushi ni kama wakurya ni born fighters, kwao Balochistan wamezungukwa na Afghanistan, Pakistan na Iran Nchi zote 3 hizo zinawapiga na wana resist.

Hapo Oman ndio wanashika vyeo vyote vikubwa vya Jeshi, Jeshi Lao ni strong na most of time Makampuni makubwa ya Security na majeshi private wanaajiriwa.

Huku kwetu walikuja kama mercenaries kupigana na mreno na wakampiga, si Waturuki si Waswahili walikua na ubavu wa kupigana na mreno, ukiona fort jesus mreno kapigwa ni KAZI ya mbulushi.

So kukinuka hapa keyboard warrior wengi watakimbia ila wao wanaweza kuresist.
 
Halafu utashangaa sisi ngozi nyeusi ndo tumewapambania hao "ngozi yakuja" kwa upambe, uchawa, rushwa na kujipendekeza wakatusua na kufika hapo walipo.

Si mnasema(ga) bongo kuna mageniuos? Wana mchango gani? Mtu akicrem akapata Div 1 na poit 7 anaitwa genious, inaonekana tuna definition tofauti na mataifa mengine
 
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.

Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Africa chini ya jangwa la Sahara hiyo ipo Tanzania tu. Kuna jamaa nchi fulani huko ameshawahi kuniuliza "hivi Tanzania ni nchi ya Waarabu" kwani diaspora wa Kitanzania aliokuwa akikutana nao hakuwahi kukutana na M'bantu.
 
Ujio.wao na misingi ya kimaisha katika koo zao hazikujikita mwenye ajira za serikali au ndani ya siasa, wao walikuja/kuingia wakiwa katika mifumo ya kibiashara zaid kutokan na maisha yao kuish pamoja kizazi na kizazi na kuoa ndani kwa ndani na kupokezana mali/biashara tangu wapo wadogo (class seven unamkuta dukan ) ndio ikapelekea hali hiyo.

Utofaut sisi nA wao
Sisi tunarisishana majengo hayapo kibiashara
Maeneo au mashamba ambayo hujui ata shamba linafany nn kwa vitendo
Hatufundshw biashara uzalish mali tukiwa na age ndogo
Wazazi wetu kusimamia maswali ya kiuchumi hadi kufa
Mfumo wa Elimu tunautumikia kwa mda mrefu na haun nguvu
Mtazamo wa kuajiriwa
Kizazi/wazazi kutojua urithi wa kiuchumi ni ktu muhimu kwa familia (wanakwambia nimekusomesha ukajitegemee)
 
Sasa kama wewe unaamini pesa yako ni yako tu watoto watafute zao unafikiri utakuwa sawa na hao Waasia.

Acha tuendelee na maujinga yetu.
Hii sababu ni ndogo sana,
 
Africa chini ya jangwa la Sahara hiyo ipo Tanzania tu. Kuna jamaa nchi fulani huko ameshawahi kuniuliza "hivi Tanzania ni nchi ya Waarabu" kwani diaspora wa Kitanzania aliokuwa akikutana nao hakuwahi kukutana na M'bantu.
Ni jambo la kushangaza sana, Kuna jambo haliko sawa linaleta hili pengo.
 
Mimi sifichi asili yangu mkuu na wala sio mnafiki nimemix mwarabu na local, na wa Ajemi na waarabu sio allies kama hujui, chama kilichofanya Mapinduzi kinaitwa Afro-Shirazi party, Shirazi ikimaanisha hao wa Ajemi.
Pia sijasema hakukua na wabantu, Ila nimesema majority ya wabantu. Makabila ya pwani ya kibantu Baba zao wengi ni wa Ajemi, huu utafiti umefanywa na pro Bantu profesa, ni fact ambayo haihitaji ubishi unless unataka Tu kubishana

View attachment 3556768
Table inayoonesha DNA kuanzia pwani ya Tanzania mpaka Kenya na Msumbiji
Source hapa

Kusoma Historia ya pwani ya Africa Mashariki watu wa Mwanzo kabisa ni Cushite tribes kama Warangi na Wairaqw hawa walikua maeneo ambayo inakisiwa ni Pangani ama Bagamoyo ya Leo kuliitwa Raphta

Historians wanakubaliana hakukua na Bantu speakers Karne ya Kwanza pwani ya Africa Mashariki. Hao Cushite tribes ndio wakaanza kutrade na Asia.

Baadae wabantu wakaja na wa Ajemi wakaja baada ya mwana mfalme wa Persia kukosa ufalme akakimbilia huku, wabantu na wa Ajemi wakazalisha hawa Swahili elites ambao babu zao walitoka huko uajemi.

Swahili elites wametawala pwani kwa miaka zaidi ya 1000 even Sultan alivyokuja hakuwagusa, kuelewa how powerfull walikua Tipu Tipu alienda Congo na kuunganisha makabila wakampiga Ubelgiji, hapa Tanganyika kila Mangi Meli, mkwawa, Abushiri etc ilikua ni movement hio hio waliwapiga wajerumani bila huruma, wote wakaja kupigwa kwa kusalitiwa.

So Historia ipo, well documented.
Akili za kuambiwa changanya na zako, kama Wakushi na nyie Waarabu ndio mliokuwa wa kwanza kufika na kufanya maisha ilikuaje Wabantu wazarama, Wandengereko na wengineo wakawa ndio wamiliki wa ardhi??
 
Ujio.wao na misingi ya kimaisha katika koo zao hazikujikita mwenye ajira za serikali au ndani ya siasa, wao walikuja/kuingia wakiwa katika mifumo ya kibiashara zaid kutokan na maisha yao kuish pamoja kizazi na kizazi na kuoa ndani kwa ndani na kupokezana mali/biashara tangu wapo wadogo (class seven unamkuta dukan ) ndio ikapelekea hali hiyo.

Utofaut sisi nA wao
Sisi tunarisishana majengo hayapo kibiashara
Maeneo au mashamba ambayo hujui ata shamba linafany nn kwa vitendo
Hatufundshw biashara uzalish mali tukiwa na age ndogo
Wazazi wetu kusimamia maswali ya kiuchumi hadi kufa
Mfumo wa Elimu tunautumikia kwa mda mrefu na haun nguvu
Mtazamo wa kuajiriwa
Kizazi/wazazi kutojua urithi wa kiuchumi ni ktu muhimu kwa familia (wanakwambia nimekusomesha ukajitegemee)
Mbona nchi majirani zetu na nyingi za Africa ambao nao ni Wabantu, Waniloti na Wakushi hali haiko hivyo??
 
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.

Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Sie tuko bize kumtafuta yesu kwa kina Mwamposa... Huku wengine pia wapo bize kusaka fedha....kupanga nikuchagua mkuu
 
Back
Top Bottom