Mimi sifichi asili yangu mkuu na wala sio mnafiki nimemix mwarabu na local, na wa Ajemi na waarabu sio allies kama hujui, chama kilichofanya Mapinduzi kinaitwa Afro-Shirazi party, Shirazi ikimaanisha hao wa Ajemi.
Pia sijasema hakukua na wabantu, Ila nimesema majority ya wabantu. Makabila ya pwani ya kibantu Baba zao wengi ni wa Ajemi, huu utafiti umefanywa na pro Bantu profesa, ni fact ambayo haihitaji ubishi unless unataka Tu kubishana
View attachment 3556768
Table inayoonesha DNA kuanzia pwani ya Tanzania mpaka Kenya na Msumbiji
Source hapa
Analysis of ancient human DNA from the Swahili coast reveals that predominantly African female ancestors and Asian male ancestors formed families after around ad 1000 and lived in elite communities in coastal stone towns.
www.nature.com
Kusoma Historia ya pwani ya Africa Mashariki watu wa Mwanzo kabisa ni Cushite tribes kama Warangi na Wairaqw hawa walikua maeneo ambayo inakisiwa ni Pangani ama Bagamoyo ya Leo kuliitwa Raphta
en.wikipedia.org
Historians wanakubaliana hakukua na Bantu speakers Karne ya Kwanza pwani ya Africa Mashariki. Hao Cushite tribes ndio wakaanza kutrade na Asia.
Baadae wabantu wakaja na wa Ajemi wakaja baada ya mwana mfalme wa Persia kukosa ufalme akakimbilia huku, wabantu na wa Ajemi wakazalisha hawa Swahili elites ambao babu zao walitoka huko uajemi.
Swahili elites wametawala pwani kwa miaka zaidi ya 1000 even Sultan alivyokuja hakuwagusa, kuelewa how powerfull walikua Tipu Tipu alienda Congo na kuunganisha makabila wakampiga Ubelgiji, hapa Tanganyika kila Mangi Meli, mkwawa, Abushiri etc ilikua ni movement hio hio waliwapiga wajerumani bila huruma, wote wakaja kupigwa kwa kusalitiwa.
So Historia ipo, well documented.