gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hiyo inatoka kizazi cha tatu na nne huko,hao walivyokuja hapa Babu zao kazi yao ilikua moja,kutafuta mali(biashara), biashara hizo zimefikia hadi vizazi hivi na vinaziendeleza vizuriSio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Wakati sisi weusi Babu zetu walipovuna sana waliongeza wake,lewa sana,ngoma sana na akifa tunagawana urithi hadi rungu lake na hivyo mali kusambaa