watakuwa wana uwezo na nguvu kubwa ya kuamua siasa za nchi ziendeje, nani awe rais na hata dini gani ndio ipewe kipaumbele na kuonekana ni dini ya taifa. Si jambo jema sana hali hii kutamalaki kwa ustawi mzuri wa taifa, watakuwa wanatengeneza raisi wao na kuhakikisha anashinda ili alinde maslahi ya biashara zao. Uchumi wa nchi utatawaliwa na wao tu, mbaya zaidi watakapotumia udini wao kuingiza mambo ya dini katika utawala wa nchiSio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Sisi tuko busy na viuno na mambo ya Simba na Yanga wakati wenzetu wanapiga hela tu.Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Waasia walianza mapema. Wahindi waliletwa na waingereza kujenga reli, na wengine wakaja kufungua biashara za kuhudumia walioletwa.
Hao waajemi na waarabu ndo wa kitambo kabisa enzi za usultani.
Swali ninalojiuliza ni kwamba imekuwaje hawajaathiriwa na sera za ujamaa za Nyerere?
watahodhi siasa za nchi na diniMfano wa shida gani itakuja huko mbele ?
Kwa uono wa jicho lako mkuu
Ni kubwa sana ukifuatilia muendelezo wa utajiri wa hao watu na jamii yetu.Hii sababu ni ndogo sana,
Nazan mifumo ya kielimu na sera pia ni jangaMbona nchi majirani zetu na nyingi za Africa ambao nao ni Wabantu, Waniloti na Wakushi hali haiko hivyo??
Bado nawashangaa watu wanaolalamika utajiri kushikwa na ngozi nyingine.Hao uliowataja kuwa matajiri wako busy kufanya biashara na kufungua viwanda. Nyinyi mko busy kuiba kodi zenu na kupeleka benki za nje,kununua vijumba Dubai,kununua majumba ya mabilionini masaki huku mkishindana kununua G wagon za bilioni muwakoge masikini mitaani. Stupid.
Mfumo, na Watu wa Unguja(Wabantu) wanaogopa sana muungano ukivunjika huko visiwani watageuka watwana wa Waarabu as it was before 'Mapinduzi' yaliyofanywa na John Okello ambaye naye within a span of days Nyerere na Karume wakampindua.Ni jambo la kushangaza sana, Kuna jambo haliko sawa linaleta hili pengo.
Mtu mweusi mara nyingi ndivyo tulivyo. Rejea story za utumwa. Mweusi akipata kula na familia yake hawezi kuwaza jamii nzima.Halafu utashangaa sisi ngozi nyeusi ndo tumewapambania hao "ngozi yakuja" kwa upambe, uchawa, rushwa na kujipendekeza wakatusua na kufika hapo walipo.
Hao watu historically ni matajiri, aliyeijenga Dar Sultani wa Zanzibar ndio Aliwaleta mostly toka Gujarati India na Balochistan, wapo Tanzania specific kwa ajili ya kufanya biashara na ndio walipa Kodi wakubwa, wanafund kwa kiasi kikubwa Bajeti yetu.
AT same time kuna matajiri kibao local, hapa Kariakoo kuna wakinga wananunua Maghorofa Hadi Bilioni 10 nenda kaangalie Biashara zao hata VAT hawana.
Ukiona maraisi wote kuanzia Nyerere Hadi someone controversial like Magufuli hataki kuwagusa wanajua Hali ya Nchi na Umuhimu wao.
Unaweza ukaamua kuwa mbaguzi na kutaka wasimiliki Mali ama ukaona mchango wao na Ku appreciate.
Mengi alipotaka wazawa wawekeze kwenye gas aliambiwa hawawezi, wao wabaki wanauza biscuit, maandazi na juice tu.Bado nawashangaa watu wanaolalamika utajiri kushikwa na ngozi nyingine.
Hawakuwa na ardhi, wameuziwa na ngozi nyeusi.
Wengine wamepata utajiri hapa hapa
Sisi tunawekeza sana katika kula raha wakati wao wanajenga uchumi wao na wa ndugu zao
Wazungu wenye asili ya Tanzania wanazidi hata kumi?Kama wamefikishwa hapo kwa Hisani ya machawa ya kibantu ni sawa tu. Ila kwa nini hakuna mzungu mwenye asili ya Tanzania kwenye top Ten au wazungu wao hawaoni umuhimu
Wapowapo mkuu wakina Bongozozo.Wazungu wenye asili ya Tanzania wanazidi hata kumi?
Wazungu wa kuja wamejikatia pande lao, wanamiliki migodi na gas.
ngozi nyeusi mna laana.。。Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Mimi sifichi asili yangu mkuu na wala sio mnafiki nimemix mwarabu na local, na wa Ajemi na waarabu sio allies kama hujui, chama kilichofanya Mapinduzi kinaitwa Afro-Shirazi party, Shirazi ikimaanisha hao wa Ajemi.
Pia sijasema hakukua na wabantu, Ila nimesema majority ya wabantu. Makabila ya pwani ya kibantu Baba zao wengi ni wa Ajemi, huu utafiti umefanywa na pro Bantu profesa, ni fact ambayo haihitaji ubishi unless unataka Tu kubishana
View attachment 3556768
Table inayoonesha DNA kuanzia pwani ya Tanzania mpaka Kenya na Msumbiji
Source hapa
Entwined African and Asian genetic roots of medieval peoples of the Swahili coast - Nature
Analysis of ancient human DNA from the Swahili coast reveals that predominantly African female ancestors and Asian male ancestors formed families after around ad 1000 and lived in elite communities in coastal stone towns.www.nature.com
Kusoma Historia ya pwani ya Africa Mashariki watu wa Mwanzo kabisa ni Cushite tribes kama Warangi na Wairaqw hawa walikua maeneo ambayo inakisiwa ni Pangani ama Bagamoyo ya Leo kuliitwa Raphta
Historians wanakubaliana hakukua na Bantu speakers Karne ya Kwanza pwani ya Africa Mashariki. Hao Cushite tribes ndio wakaanza kutrade na Asia.
Baadae wabantu wakaja na wa Ajemi wakaja baada ya mwana mfalme wa Persia kukosa ufalme akakimbilia huku, wabantu na wa Ajemi wakazalisha hawa Swahili elites ambao babu zao walitoka huko uajemi.
Swahili elites wametawala pwani kwa miaka zaidi ya 1000 even Sultan alivyokuja hakuwagusa, kuelewa how powerfull walikua Tipu Tipu alienda Congo na kuunganisha makabila wakampiga Ubelgiji, hapa Tanganyika kila Mangi Meli, mkwawa, Abushiri etc ilikua ni movement hio hio waliwapiga wajerumani bila huruma, wote wakaja kupigwa kwa kusalitiwa.
So Historia ipo, well documented.
That's why I will permanently stick my black annoying ass here despite the systematic racism but as long as I have a roof above me, sure of good food and most of all the access to "smoke" I don't give a shit damn about the thed weld dwellers and hend to mouth.Hao uliowataja kuwa matajiri wako busy kufanya biashara na kufungua viwanda. Nyinyi mko busy kuiba kodi zenu na kupeleka benki za nje,kununua vijumba Dubai,kununua majumba ya mabilionini masaki huku mkishindana kununua G wagon za bilioni muwakoge masikini mitaani. Stupid.
Mkuu kina Elias Kihombo T.O nigger alikuwa akitamba anayemzidi ni Mungu tu na mzungu, kisa ka-krem physics na kufundisha tuishen.Si mnasema(ga) bongo kuna mageniuos? Wana mchango gani? Mtu akicrem akapata Div 1 na poit 7 anaitwa genious, inaonekana tuna definition tofauti na mataifa mengine