gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hiyo inatoka kizazi cha tatu na nne huko,hao walivyokuja hapa Babu zao kazi yao ilikua moja,kutafuta mali(biashara), biashara hizo zimefikia hadi vizazi hivi na vinaziendeleza vizuriSio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Palikua na dola ya waajemi hapa pwani miaka ya 900AD,najua miaka hiyo sidhani kama palikua na waha au wakinga hapa tz,na ni kweli warangi,wanyaturu,wanyiramba na hiyo jamii ya manyara ni watu toka Ethiopia,walikuja hapa baada ya hao washirazi kuwa wameshaweka dola Yao hapaKwa namna ulivyoharibiwa akili na kuwa brainwashed sishangai unavyosema waajemi ndio wakazi wa asili wa Tanganyika na wabantu ni wageni wa kuja tu, haya ni mawazo ya hovyo sana kwamba kuyasikia, ni kufuru na usaliti. Kuna uwezekano mkubwa wewe ni muajemi au Mwarabu kwa hiyo damu imekuwa nzito kuliko maji.
Deep state ya Tanzania haijanunuliwa na wafanyabiashara bado kama ilivyo kenya, ingekua hivyo lowasa angekua rais 2015watakuwa wana uwezo na nguvu kubwa ya kuamua siasa za nchi ziendeje, nani awe rais na hata dini gani ndio ipewe kipaumbele na kuonekana ni dini ya taifa. Si jambo jema sana hali hii kutamalaki kwa ustawi mzuri wa taifa, watakuwa wanatengeneza raisi wao na kuhakikisha anashinda ili alinde maslahi ya biashara zao. Uchumi wa nchi utatawaliwa na wao tu, mbaya zaidi watakapotumia udini wao kuingiza mambo ya dini katika utawala wa nchi
Umeongea kweli mkuuSio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini huko mbele mbele italeta shida.
Hawajakuja mikono mitupu, do you even know traders wa Gujarati wewe? Hebu kuweni serious.Mengi alipotaka wazawa wawekeze kwenye gas aliambiwa hawawezi, wao wabaki wanauza biscuit, maandazi na juice tu.
Asians wanakuja mikono mitupu lakini wanawekeza kila mahali na wanaishia kuwa mabilionea.
Kabla ya Ujamaa wa 1967 stakeholders wakubwa walikuwa ni Wazungu(mifano kama Lonrho na Smith Makenzie) lakini Nyerere akafagia wote plush plus investments za Wahindi ambao walikuwa second kutoka kwa Wazungu na Waarabu walikuwa ni wafanyabiashara wa kawaida ambao mostly walimiliki maduka, malori na mabasi. Wazungu waliondoka jumla sasa hawa wengine ambao hata kwao(back then) ilikuwa bado ni njaa kali wakabaki kupambana japo some Indian families walihamia Canada na UK though some have come back kwa kuwa tokea awamu ya pili kinachowabeba ni mfumo na wazawa kupigana vita wenyewe kwa wenyewe kuona bora apate mtu wa rangi tofauti.Waasia walianza mapema. Wahindi waliletwa na waingereza kujenga reli, na wengine wakaja kufungua biashara za kuhudumia walioletwa.
Hao waajemi na waarabu ndo wa kitambo kabisa enzi za usultani.
Swali ninalojiuliza ni kwamba imekuwaje hawajaathiriwa na sera za ujamaa za Nyerere?
Sio kwamba wabantu hawakuwepo Tanzania Bali hawakuwepo pwani ya Africa, Rudi tena Darasani kasome, huwezi kulisha na kuchunga Ng'ombe Baharini.Akili za kuambiwa changanya na zako, kama Wakushi na nyie Waarabu ndio mliokuwa wa kwanza kufika na kufanya maisha ilikuaje Wabantu wazarama, Wandengereko na wengineo wakawa ndio wamiliki wa ardhi??
Hawajakuja mikono mitupu, do you even know traders wa Gujarati wewe? Hebu kuweni serious.
Sasa hivi USA na utajiri wake anamiliki kama 26% ya Global GDP, wakati wa Mughali empire Karne ya 16-18 India walifikia hio percentage na kuipita, ilikua estimated karibia 1/3 ya uchumi w Dunia ulikua ni wao.
Waliokuwa wafanyabiashara wakubwa wakifacilitate uchumi ni hao Gujarati Traders, ambao walikuja Huku, Just imagine walikua na Mtaji mkubwa even Sultan mwenyewe hagusi.
Na ushahidi unao unless unakaa vijijini Ila kama umekuja Dar na umetembelea mjini Kariakoo na Posta kuna mamia kama sio maelfu ya maghorofa ambayo yamejengwa mwishoni MWA miaka ya 1800 na mwanzoni MWA miaka ya 1900, mjini posta Maghorofa mengi ni ya kizamani style hio, Maghorofa Yao baadae Nyerere akayachukua na Kuwafanya National House, Eti Leo unakutana na kijitu kina claim wamekuja mikono mitupu, serious?
Ali mufuruki ni Kichwa, kusoma na kuwa Engineer wa Benz at that time kwenye team ya watu wachache ilikua ni Big deal Duniani. Na kwa ufahamu wangu vice versa is true amekua Tajiri Tanzania akaenda kuwekeza Kenya,Mfumo, na Watu wa Unguja(Wabantu) wanaogopa sana muungano ukivunjika huko visiwani watageuka watwana wa Waarabu as it was before 'Mapinduzi' yaliyofanywa na John Okello ambaye naye within a span of days Nyerere na Karume wakampindua.
Nyerere kwa kiasi kikubwa alipigana sana kuiondoa hii lakini ikamshinda kwa kuwa alitumwa zaidi hisia katika ukifanya zoezi zima na pia kuna watu ndani ya mfumo hawako tayari kuona m'bantu anafanikiwa, nakumbuka Mengi alivyokuwa anakutana na vizingiti on his way to the (🔝) top, Ali Mufuruki alitajirikia zaidi Kenya.
The most hilarious part ni kwamba ni baadhi ya maeneo, jamii, kanda, makabila na imani(I tried deliberately to avoid mentioning this but my heart couldn't let me) kwa kukubali kuwa wao ni watwana wa watu wa rangi nyingine wamechangia sana kwenye hili kwani wako tayari kumpiga vita m'bantu kinamna yoyote popote pale wawezapo kwani kwao ni bora Muarabu/Mhindi wawe 'mabwana' nao wawe watwana wao. Angalia jamii inayokesha ikiwaramba miguu na kujidhalilisha kila uchwao kwa hao 'watu', hawawezi kuwa wanyeyekevu na loyal kwa kiwango hicho kama wanafanya kazi kwa m'bantu mwenzao. Mifano iko wazi hata mtandaoni humu.
Mfano Mengi alivyokufa nadhani unaona kilicho tokea maugomvi ya kijinga ya maliHiyo inatoka kizazi cha tatu na nne huko,hao walivyokuja hapa Babu zao kazi yao ilikua moja,kutafuta mali(biashara), biashara hizo zimefikia hadi vizazi hivi na vinaziendeleza vizuri
Wakati sisi weusi Babu zetu walipovuna sana waliongeza wake,lewa sana,ngoma sana na akifa tunagawana urithi hadi rungu lake na hivyo mali kusambaa
Graph inayoonesha share of global GDPView attachment 3556919
Ambatanisha ushahidi👆🏾
Umenikumbusha jamaa wa Manji aliyekamatwa na mabegi ya pesa kuwanunua wajumbe wa NEC wa mbogamboga kwa ajili ya Membe 2015, ila sidhani kama hao ma tycoons wenye asili ya Asia wanajali sana mambo ya dini, labda pale inapobidi tu ila kufanikisha mambo yao ya kibiashara.watakuwa wana uwezo na nguvu kubwa ya kuamua siasa za nchi ziendeje, nani awe rais na hata dini gani ndio ipewe kipaumbele na kuonekana ni dini ya taifa. Si jambo jema sana hali hii kutamalaki kwa ustawi mzuri wa taifa, watakuwa wanatengeneza raisi wao na kuhakikisha anashinda ili alinde maslahi ya biashara zao. Uchumi wa nchi utatawaliwa na wao tu, mbaya zaidi watakapotumia udini wao kuingiza mambo ya dini katika utawala wa nchi
💯✔️Graph inayoonesha share of global GDP
View attachment 3556922
Hio Karne ya 18 India walikua na Estimation ya 24-28% ya Global GDP wakati huo sultan kaja huku kawaleta hao wafanyabiashara.
Source usome zaidi
Hao ni matapeli tu, hakuna chochote walicholeta, yani uje na mchaichai, mdalasini, hiliki, shanga na bunduki uondoke na dhahabu, Pembe za ndovu, ngozi za wanyama na watumwa halafu useme hiyo ni biashara ya kusifia umeletewa.Hawajakuja mikono mitupu, do you even know traders wa Gujarati wewe? Hebu kuweni serious.
Sasa hivi USA na utajiri wake anamiliki kama 26% ya Global GDP, wakati wa Mughali empire Karne ya 16-18 India walifikia hio percentage na kuipita, ilikua estimated karibia 1/3 ya uchumi w Dunia ulikua ni wao.
Waliokuwa wafanyabiashara wakubwa wakifacilitate uchumi ni hao Gujarati Traders, ambao walikuja Huku, Just imagine walikua na Mtaji mkubwa even Sultan mwenyewe hagusi.
Na ushahidi unao unless unakaa vijijini Ila kama umekuja Dar na umetembelea mjini Kariakoo na Posta kuna mamia kama sio maelfu ya maghorofa ambayo yamejengwa mwishoni MWA miaka ya 1800 na mwanzoni MWA miaka ya 1900, mjini posta Maghorofa mengi ni ya kizamani style hio, Maghorofa Yao baadae Nyerere akayachukua na Kuwafanya National House, Eti Leo unakutana na kijitu kina claim wamekuja mikono mitupu, serious?
Sasa kama hao Wakushi na Waniloti walikuwa wanapita njia tu kama wapitaji na mifugo yao unawahesabu vipi kuwa wakazi wa hilo eneo!Sio kwamba wabantu hawakuwepo Tanzania Bali hawakuwepo pwani ya Africa, Rudi tena Darasani kasome, huwezi kulisha na kuchunga Ng'ombe Baharini.
Bantu migration ilipotokea na Makabila ya kibantu kuanza kuondoka Cameroon na kutafuta Ardhi walifikia Mwanza na mikoa inayozunguka Ziwa Victoria, sababu kuna maji baridi na Eneo linalofaa kilimo.
Baada ya wa Ajemi kuja na kuzaliana na Makabila ya pwani ikiwemo wabantu wachache waliokuwepo ndio wanatengeneza Kilwa na miji mikubwa, kukawa na hela, maisha mazuri, watu hawaishi kwenye nyumba za udongo etc, ina maana wabantu wakawa wanahamia.
Ndio maana ukienda pwani iwe ni Tanga, Zanzibar, Lindi, Mtwara etc just miaka kadhaa iliopita MTU yoyote toka Bara anaitwa Mnyamwezi haijalishi ni Msukuma, Mhaya, Muha etc kuonyesha Distinction iliokuwepo baina ya Swahili na Makabila ya Pwani.
Na juu nimekuekea data made by pro Bantu professor hao wandeng'ereko Baba zao ni wa Ajemi proved by genetic studies, it's just miaka imepita zaidi ya 1000 inter marriage nyingi damu inapotea, Ila kisayansi still unaona genetics zao asili yake.
Hukuti hiyo kwa wahindi na waarabuMfano Mengi alivyokufa nadhani unaona kilicho tokea maugomvi ya kijinga ya mali
Bill Shaka Kuna mfereji wa Billion 2 uliopitishiwa kwako.Abdu Shiraz kumbe una undugu na Rostam mwanangu.
Boss unasoma kweli comment zangu? Naona kama tunapotezeana Mda hapa.Sasa kama hao Wakushi na Waniloti walikuwa wanapita njia tu kama wapitaji na mifugo yao unawahesabu vipi kuwa wakazi wa hilo eneo!