Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

Hao ni matapeli tu, hakuna chochote walicholeta, yani uje na mchaichai, mdalasini, hiliki, shanga na bunduki uondoke na dhahabu, Pembe za ndovu, ngozi za wanyama na watumwa halafu useme hiyo ni biashara ya kusifia umeletewa.
AGA khan na sultan wakati huo hizi baadhi ya Investments zao
1. Shule za Leo unazoziona hapa Mjini kama Tambaza, Jangwani etc
2. Ikulu ya Raisi wa Tanzania
3. Hospitali za Kwanza Kabisa kujengwa hapa Tanzania si wakoloni Bali wao wahindi
4. Maduka Yenye Biashara mbalimbali hasa za ujasirimali na hili ni Hadi Leo, ukitaka kutengeneza mabatiki, Nguo vifungo, zipu, nyuzi etc utawatafuta wao.

Hayo mambo ya Ivory na mdalasini unaongelea vitu vya zamani ambavyo ni kabla ya hao wahindi kuja Tunaongelea mambo ya Karne ya 18 hapa Sultan yupo Znz na wahindi wamekuja.

Karne ya 19 tayari Tanzania kuna Maghorofa, watu Wana umeme, kuna Ghorofa lina lift Znz, baadhi ya watu Wana drive, kuna wasanii wanaimba nyimbo worldwide zinasikika mpaka studio za Marekani zinaweka branch ili kupata hizo talents.

So ni ukosefu Tu wa Elimu kufkiria hao wahindi walikuja kufanya biashara ya Ivory
 
Una story za kubumba, kuungaunga na kulazimisha sana, huo mji wa Raphta hauna hata taarifa au ushahidi wa kutosha kuhusu, kila watu kuanzia Wareno, Wakushi, Wabuntu, Warumi na Wahindi wanasemwa kuanzisha.
 
Una story za kubumba, kuungaunga na kulazimisha sana, huo mji wa Raphta hauna hata taarifa au ushahidi wa kutosha kuhusu, kila watu kuanzia Wareno, Wakushi, Wabuntu, Warumi na Wahindi wanasemwa kuanzisha.
Controversy ya Rhapta ni ilikua wapi, Tanga, Pangani, dar ama Rufiji, ila 100% Historians wanakubaliana ulikua Tanzania

Wareno hawajawahi kuja Tanzania Karne ya Kwanza, wamekuja maelfu ya miaka baadae lete ushahidi hapa kwamba Wareno walikua pwani ya Africa at that time, pia lete ushahidi kwamba Warumi na wahindi wameanzisha, naona unataka kuleta stori za kutunga humu.
 
Afadhali kwa sasa baadi ya wanantu nao ni matajiri
 
ila sidhani kama hao ma tycoons wenye asili ya Asia wanajali sana mambo ya dini, labda pale inapobidi tu ila kufanikisha mambo yao ya kibiashara.
Ila wakristo wanawaogopa waislamu aisee
😅😅 Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…