Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

Nakuunga mkono. Na wengi ni wataliban weusi wa Africa ndo wanamuunga mkono Putin hasa kwa sbb Marekani imeweka mkono wake hapo. Hawampendi mmarekani over.
 
Wazee kama nyie ndio maana mnaitwa wapumbavu, sasa Ukraine na Nato wenye silaha makini wanashindwa nini kuwaondoa warusi nchini Ukraine? Wanashindwa nini kuingia vitani ukraine? Yaani nchi inanyang'anywa ardhi yake alafu mnaisifu eti ina nguvu ya kijeshi, na inayonyang'anya ardhi eti ina silaha dhaifu hii inaingia akilini?

Yaan mtu unayejipambanua kua msomi na mtu mzima unaongea mashudu kiasi hiki?
 
Hapa ishu ni kumuua putin tu maana hata raia wake hawamuelewi pia hata haieleweki kaanzisha vita kw7bb zipi pia kesha chokoza na alaska huko hivyo sio mtu sahihi kuwepo kwa namna moja ama nyingine
 
Kama NATO Ingekuwa na siraha zenye uwezo huo uliosema hakuna mji wowote wa Ukraine au askari yeyote wa Ukraine angeuwawa au kombola la Russia lingetua Ukraine. Na Putin asingekuwepo kama Rais wa Russia.
Da, hivi umewahi kupitia hata jeshini? Kwani ukiwa na silaha nzuri za kupiga maana yake wewe huwezi kupigwa? Hebu jaribu kutumia common sense kabla ya kujibu. Kuwa na silaha nzuri haina maana adui yako hana silaha au akikupiga makombora yake yanageuka maji. Marekani alikuwa na silaha nzuri Afgjanstan zaidi ya Mujaheeden, lakini nae alikuwa anapigika na hizo hizo AK 47 ambazo ni za kizamani ukilinganisha na bunduki wanazotumia USA
 
For your very best information my file no at MMJ is P 98** Ni sawa na Kichaa akwambie ana file Mirembe Hospital. If you know what I mean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…