Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

Maelezo mengi unatujazia server alafu pumba yaani kila siku ni maconsipirac yasio isha makosa ayafanye putin alafu lawama wabebeshwe west ar you serious swali UKRAIN ni nchi huru ama sio huru?
Jibu kwa point ili uonekane nawew una akili, huwezi mkosoa mtu na hauna points zozote, huo ni Upumbavu...hivi shuleni hamkufunzwa namna ya kujibu?
 
Da, I say kuna watu matomaso kweli kweli. Yaani video zote za Sun jinsi Ukraine wanavyppasua silaha za Mrusi, Video za CNN wanaonyesha skari wa Urusi wanalalamika hawajala, simu za askari wa Urusi wakiongea na ndugu zao wakimtukana Putin nk, vyote hivyo hamuamini? Kweli kuna watu mna shingo ngumu.
View attachment 2389470
[emoji1][emoji1][emoji1] aisee
IMG_20220916_164603_034.jpg
 
Hakuna mwamba wrwe duniani ni majira tu kula mtu anayajwake.Hakuna mtu aliyetisha kama Hitler na wakamwondoa after 2 years. Putin ni muda tu .Yeye nwenyewe Aneshaona after this winter kama ulaya hawatatumia gas yake inamaana hana cha ku offer ndio kwishei.
Umenena vema kuhusiana na Hitler. Ni vizuri tu rejelee historia na mwenendo mzima wa hulka ya Mwanadamu. Putin anachokifanya Ukraine na kwa Raia wake kinapingana na hulka ya wanadamu-kuwa huru. Aidha, kwa Taifa kama lake lenye Nyukilia kuingia Vitani Moja kwa Moja, ni tishio kwa uhai wa Dunia na watu wake. Sisi tunaoamini Biblia inachosema Mungu hawezi ruhusu hilo. Ingawa ametumisha msuli, the break up will come from within. Una kilichotokea kwa Soviet Union. Ona pia ambacho huenda kikatokea kwa Washirika wake Iran na China. NB: The King of the North will never overtake the King of the South(Bible)
 
Kwahio 'Mungu" ataruhusu ufalme wa Mashoga (South) ututawale sio?
 
Wewe inaonekana upo gizani.

Mataifa ya Ulaya yanafanya kila jitihada kupata vyanzo vipta vya gas. Vita hii ikienda mpaka mwishoni mwa 2023, Urusi itashuhudia anguko kubwa la uchumi wake.

Kuna bomba la gas linajengwa toka Qatar kwenda Ulaya, toka Nigeria mpaka Ulaya. Miradi hiyo ikikamilika, Ulaya haitategemea gas ya Urusi. Pia kuna miradi kadhaa ya namna hiyo inaendelea kati ya Norway na nchi nyingine za Ulaya.

Mataifa haya ya Ulaya yanaamini sana katika akili zao kuliko mali asilia. Tulitaifisha migodi ya natural mica hapa Tanzania toka kwenye makampuni yao tukijua lazima watatupigia magoti, wakaja na synthetic mica. Hata gas isipokuwepo kabisa, mwishoni watakuja na suluhisho.
Bado mkuu! Kwan nan ambae hataki Urusi ipeleke Gas yake Ulaya? Ni Ulaya wenyewe au US? Ulaya hasa Ujeruman hawanashida kabisa na Gas ya Urusi ila Marekan ndiyo hataki Russia aiuzie Gas Europe na sababu kubwa hataki uchumi wa Urusi ukue, ndiyo maana Putin juzi ametangaza hub ya Gas kwa Ulaya itakuwa Turkey na atajenga bomba lingine.

Russia kwasasa anauza Gas yake China, China kuna bomba la Siberian 1 na 2 lishaanza kujengwa linapeleka Gas China, Ulaya wananchi wao wanaandamana kama France kutaka Macron aondoke madalaki kwani Sacrion alizoweka kwa Russia wanaoumia ni wao, Germany kuna maandamano, UK nk wote hawaoni haja ya kuwa katika EU wala NATO maana wanaona wanatumika kama chambo kumnufaisha Marekani.
 
Watu wanadandia tu hoja hapa na pale haya mambo ni mazito watu wako kazini tangu enzi na enzi Putin lazima wamdondoshe Kwa gharama yake mwenyewe na Uchumi wao utaanguka sana tu Tena sana sana
Sasa Mkuu huko Russia na Germany nan uchumi wake unayumba mpaka sasa?
 
Anahimili? Bila shaka hujui Kiingereza.ajenerali wa Urusi wanasema hakuna askari asiemtukana Putin kwa sasa. Yaani Putin anapigika sawasawa
Msiandike kwa mahaba......
Hii vita Ukraine hataweza kutoboa..hayo mengine ni kujitia moyo tu...
Putin hajaanza leo kupambana na West, tangu kipindi West na Waarabu wanawasaidia Chechniya..Putin alikuwepo...Ameenda Georgia..katibua pale, Kaanza kuingia Ukraine....Mnasema Ukraine wanashinda...hawa ambao wakipigwa makombora masaa nane mfululizo kila mtu anaanza kulalamika....kwamba wanaonewa??

Juzi akiwa Astana..walimuuliza kama anajutia..akasema hajutii kwa chochote na illikuwa ni bora kuanzisha timwili sasa hivi kuliko kusubiri, madhara yangekuwa makubwa zaidi..
Pia maamuzi kama hayo hayafanywi na mtu mmoja...yaani unafikiri kabisa kuwa Putin katoka huko..kakurupuka tu na kuanzisha SMO...??

Kati ya watu duniani ambako wako well informed na kinachoendelea duniani..ni MARAIS....wanajua vitu vingi ambavyo mimi na wewe hatujui...na wakitaka taarifa yoyote wanapata...
 
Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote.

Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama ilivyo sasa. Kwa sasa anawaza sana jinsi ya kuepukana na aibu ya kupigwa na Ukraine. Juzi hapa alichukua hatua ya kulipiza kisasi na kupiga miji katika maeno ya raia, jambo ambalo alijua kabisa ni kosa kubwa sana katika sisa za kimataifa. Anatapatapa (desparate) na sasa kuna wasiwasi nje na ndani ya Urusi kwamba anaweza kutumia silaha za nuklia.

Mafanikio ya Ukraine yametokana na silaha sa kisasa sana tuka NATO. Ni silaha ambazo huwezi hta kukificha kifaru, na zinafanya Ukraine waone kila sehemu silaha za Urusi zilipo na kuzipiga wanavyotaka. Urusi ndio sasa wanatambua teknolojia ya NATO kwenye kuziona silaha zake iko juu sana. Kutumia vifaru kwenye vita ni sawa na kuamua kujiua! Ukraine amepiga maghala ya silaha karibu yote yanayoonekana katika sehemu zilizochukuliwa na Urusi, na lengo sasa ni kuizuia Urusi kupeleka silaha zaidi maeneo hayo, ndio maana wanaharibu madaraja.

Na juzi hapa kajaribu kujikosha na kusema nchi za Ulaya bado zinaweza kuendelea kutumia gesi ya Urusi maana kuna bomba lipo kusafirisha gesi hii kupitia Germany. Putin ameanza kulia poo lakini Wajerumani wamekataa ofa yake.

Na pia Ulaya imeamua kwamba hata vita ikiisha hawataki tena kuitegemea Urusi kwa gesi na mafuta. Hivyo hata vita ikiisha na Putin bado akawa raisi, hali ya uchumi kwa Urusi haitakuwa nzuri kwa kuwa atakuwa na mafuta na gesi kwa wingi bila kuwa na sehemu za kuyauza. Hili litaporomosha sana bei ya mafuta na gesi duniani. Saud Arabia kwa kutambua hili ameanza kujiweka karibu na upande wa Ukraine. Wamewapa USD 400 milioni kukabili athari za makombora ya Urusi kwa wananchi.

Katikati ya mafanikio ya kivita ya Ukraine, nchi hiyo na Ulaya wanatambua kwamba hata kama Ukraine wakifanikiwa kuyaondoa majeshi ya Urusi Ukraine na kurudisha maeneo yote huku Putin akiendelea kuwa Raisi wa Urusi, kuna sku atarudi tena akiwa amejiandaa vizuri zaidi na vita itakuwa mbaya zaidi. Kwa hiyo wanaona suluhisho la kudumu ni Putin kutokuwa raisi wa Urusi, eidha kwa kulazimishwa kuondoka, au ikibidi kuuwawa (assassination). Wanasema hili ndilo lilikuwa lengo la vikwazo vya uchumi kwa Urusi na matajiri wa Urusi, na lazima lifanikiwe ili amani ipatikane.

Ndani ya Urusi, kutambua kwamba kuendelea kwa Putin kuwa raisi wa Urusi ni janga litakaloendelea kuwakabili hata kama vita na Ukraine ikiisha, kumeanza kuleta vuguvugu wanalotaka mataifa ya Ulaya - Putin aondoke kwa njia moja au nyingine. Apinduliwe? Auwawe? Moja kati ya haya mawili linakuja na litaathiri sana bei ya mafuta, hasa kuitelemsha. Watch this space
Kama NATO Ingekuwa na siraha zenye uwezo huo uliosema hakuna mji wowote wa Ukraine au askari yeyote wa Ukraine angeuwawa au kombola la Russia lingetua Ukraine. Na Putin asingekuwepo kama Rais wa Russia.
 
Mtoa mada ungekuwa karibu ningekukata makofia japo mawili ili yakuzindue ..unaonekana ujui kitu kwenye mambo ya kimataifa nakupa hii chukua na usave kwenye ubongo wako Maisha mazuri uliyokuwa unayaona ulaya ni kwasababu ya cheap energy ya Russia ..yani ulaya walikuwa wanauziwa gesi kwa bei affordable uchumi wa getmany karibu 38% umechangiwa na cheap energy ya Russia ..putin yupo ataendelea kuwepo mpaka mungu atakapoamua kumchukua lakini siyo ramli zenu watu kama nyinyi..leo hii UK kuna mgao wa umeme[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu kwa point ili uonekane nawew una akili, huwezi mkosoa mtu na hauna points zozote, huo ni Upumbavu...hivi shuleni hamkufunzwa namna ya kujibu?
Mfano halisi ni kwa mpuuzi kama nikujibu kwa point zip ambazo utazielewa wewe unafaa kujibiwa ugoro tu ndo lugha unayoielewa wewe na si lugha nyingine
 
Mtoa mada ungekuwa karibu ningekukata makofia japo mawili ili yakuzindue ..unaonekana ujui kitu kwenye mambo ya kimataifa nakupa hii chukua na usave kwenye ubongo wako Maisha mazuri uliyokuwa unayaona ulaya ni kwasababu ya cheap energy ya Russia ..yani ulaya walikuwa wanauziwa gesi kwa bei affordable uchumi wa getmany karibu 38% umechangiwa na cheap energy ya Russia ..putin yupo ataendelea kuwepo mpaka mungu atakapoamua kumchukua lakini siyo ramli zenu watu kama nyinyi..leo hii UK kuna mgao wa umeme[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa, ulaya ilikua inapata cheap energy ya Mrusi, lakini mrusi kuvamia nchi huru ni haki?
 
NATO na nchi za magharibi kwa ujumla wana mipango ya miaka 50- 100 ya kutawala dunia. Hizo "think tanks" zao wanatabiri Waafrika wataongezeka sana; Wazungu, hasa vijana watakuwa wachache na nguvukazi ikipungua kwao Waafrika watatumiwa kufanya kazi za ngazi za chini kabisa na za kitumwa. Sisi tuna mpango gani wa kipondi hicho Cha baadaye? Ingawa haiko Ulaya, huko Libya weusi wanauzwa sokoni kwa hata $400 ikiwa hana taaluma ya ufundi.
Kwa ufupi Putin hataki nchi yake igeuzwe kama zilizofanyiwa Libya,Iraq na Syria kwa mashambulizi ya NATO.
Wamagharibi walisema vikwazo vikali Sana kwa Russia vita muondoa Putin ( regime change). Tazama waliotangulia kuondoka ni PM wa UK Boris Johnson, PM wa Italia, PM wa Sweden, na huyu mpya wa UK huenda akaondoka kabla ya Putin.
Ebu Waafrika tujitambue badala ya kukubali kila tamko kutoka nchi za Magharibi. Kama wao ni miungu mbona wameikimbia Afghanistan kwa aibu August 2021?
 
Msiandike kwa mahaba......
Hii vita Ukraine hataweza kutoboa..hayo mengine ni kujitia moyo tu...
Putin hajaanza leo kupambana na West, tangu kipindi West na Waarabu wanawasaidia Chechniya..Putin alikuwepo...Ameenda Georgia..katibua pale, Kaanza kuingia Ukraine....Mnasema Ukraine wanashinda...hawa ambao wakipigwa makombora masaa nane mfululizo kila mtu anaanza kulalamika....kwamba wanaonewa??

Juzi akiwa Astana..walimuuliza kama anajutia..akasema hajutii kwa chochote na illikuwa ni bora kuanzisha timwili sasa hivi kuliko kusubiri, madhara yangekuwa makubwa zaidi..
Pia maamuzi kama hayo hayafanywi na mtu mmoja...yaani unafikiri kabisa kuwa Putin katoka huko..kakurupuka tu na kuanzisha SMO...??

Kati ya watu duniani ambako wako well informed na kinachoendelea duniani..ni MARAIS....wanajua vitu vingi ambavyo mimi na wewe hatujui...na wakitaka taarifa yoyote wanapata...
Nitakujibu kwa kirefu hapo baadae, wakati muafaka
 
Sasa Mkuu huko Russia na Germany nan uchumi wake unayumba mpaka sasa?
Suala ni kwamba hawa wajamaa wanajua uchumi utayumba, ila wanasema piga ua lazima Putin akomeshwe. Hakuna aliyekataa uchumi wa Ulaya kuyumba. Hata tulivyoamua kumpiga Idd Amin, uchumi uliyumba kwa miaka 10, hatukujali
 
Sio wote wana nia hiyo, hiyo nia anayo Marekan na Uingereza ao ndo wanajua nini kilichopo nyuma ya pazia, ao wengine wanasukumiwa tu kwakuwa muungano wa NATO.

Mwaka 2018 Macron alipendekeza Europe iwe na Jeshi lake huru lisilo fungamana na mataifa mengine nje ya Europe! NATO iondoke maana wanaona wanaingizwa kwenye migogoro kwa maslah ya wengine tu japo suala hili lilipingwa vikali Marekan pamoja na UK.
 
Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote.

Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama ilivyo sasa. Kwa sasa anawaza sana jinsi ya kuepukana na aibu ya kupigwa na Ukraine. Juzi hapa alichukua hatua ya kulipiza kisasi na kupiga miji katika maeno ya raia, jambo ambalo alijua kabisa ni kosa kubwa sana katika sisa za kimataifa. Anatapatapa (desparate) na sasa kuna wasiwasi nje na ndani ya Urusi kwamba anaweza kutumia silaha za nuklia.

Mafanikio ya Ukraine yametokana na silaha sa kisasa sana tuka NATO. Ni silaha ambazo huwezi hta kukificha kifaru, na zinafanya Ukraine waone kila sehemu silaha za Urusi zilipo na kuzipiga wanavyotaka. Urusi ndio sasa wanatambua teknolojia ya NATO kwenye kuziona silaha zake iko juu sana. Kutumia vifaru kwenye vita ni sawa na kuamua kujiua! Ukraine amepiga maghala ya silaha karibu yote yanayoonekana katika sehemu zilizochukuliwa na Urusi, na lengo sasa ni kuizuia Urusi kupeleka silaha zaidi maeneo hayo, ndio maana wanaharibu madaraja.

Na juzi hapa kajaribu kujikosha na kusema nchi za Ulaya bado zinaweza kuendelea kutumia gesi ya Urusi maana kuna bomba lipo kusafirisha gesi hii kupitia Germany. Putin ameanza kulia poo lakini Wajerumani wamekataa ofa yake.

Na pia Ulaya imeamua kwamba hata vita ikiisha hawataki tena kuitegemea Urusi kwa gesi na mafuta. Hivyo hata vita ikiisha na Putin bado akawa raisi, hali ya uchumi kwa Urusi haitakuwa nzuri kwa kuwa atakuwa na mafuta na gesi kwa wingi bila kuwa na sehemu za kuyauza. Hili litaporomosha sana bei ya mafuta na gesi duniani. Saud Arabia kwa kutambua hili ameanza kujiweka karibu na upande wa Ukraine. Wamewapa USD 400 milioni kukabili athari za makombora ya Urusi kwa wananchi.

Katikati ya mafanikio ya kivita ya Ukraine, nchi hiyo na Ulaya wanatambua kwamba hata kama Ukraine wakifanikiwa kuyaondoa majeshi ya Urusi Ukraine na kurudisha maeneo yote huku Putin akiendelea kuwa Raisi wa Urusi, kuna sku atarudi tena akiwa amejiandaa vizuri zaidi na vita itakuwa mbaya zaidi. Kwa hiyo wanaona suluhisho la kudumu ni Putin kutokuwa raisi wa Urusi, eidha kwa kulazimishwa kuondoka, au ikibidi kuuwawa (assassination). Wanasema hili ndilo lilikuwa lengo la vikwazo vya uchumi kwa Urusi na matajiri wa Urusi, na lazima lifanikiwe ili amani ipatikane.

Ndani ya Urusi, kutambua kwamba kuendelea kwa Putin kuwa raisi wa Urusi ni janga litakaloendelea kuwakabili hata kama vita na Ukraine ikiisha, kumeanza kuleta vuguvugu wanalotaka mataifa ya Ulaya - Putin aondoke kwa njia moja au nyingine. Apinduliwe? Auwawe? Moja kati ya haya mawili linakuja na litaathiri sana bei ya mafuta, hasa kuitelemsha. Watch this space
Ww bila shaka ni form four uliyepata zero
 
Wewe inaonekana upo gizani.

Mataifa ya Ulaya yanafanya kila jitihada kupata vyanzo vipta vya gas. Vita hii ikienda mpaka mwishoni mwa 2023, Urusi itashuhudia anguko kubwa la uchumi wake.

Kuna bomba la gas linajengwa toka Qatar kwenda Ulaya, toka Nigeria mpaka Ulaya. Miradi hiyo ikikamilika, Ulaya haitategemea gas ya Urusi. Pia kuna miradi kadhaa ya namna hiyo inaendelea kati ya Norway na nchi nyingine za Ulaya.

Mataifa haya ya Ulaya yanaamini sana katika akili zao kuliko mali asilia. Tulitaifisha migodi ya natural mica hapa Tanzania toka kwenye makampuni yao tukijua lazima watatupigia magoti, wakaja na synthetic mica. Hata gas isipokuwepo kabisa, mwishoni watakuja na suluhisho.
Ahaa bomba toka Qatar mpaka Europe litachukua miaka mingapi? Tupe takwimu baada ya ulaya kugomea ges ta Russia , mapato yameanguka kiasi gani? Nani amekua mteja wa ges ya urusi tena kwa bei che.
Hivi mnadhani Russia ni libya? Maliasili sio makalio kusema kila mtu anayo, rasilimali za gesi na mafuta hazina mbadala hata kwa miaka 100 ijayo.. tumeona magari ya nishati ya umeme na jua, sokoni yanafanya vzr? Gari unachaji masaa 7 linaenda kilomita 300, kuna mtu anataka huo upumbavu?
 
Back
Top Bottom