Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Jinsi ya kumsaidia mkae pamoja na simu zenu zikiwa na Bando muingie YouTube Muangalie Jinsi ya kuandaa mapishi mbalimbali.
Kama hiyo siku mnataka kupika pilau Kwa pamoja jifunzeni mtandaoni atajua na ataelewa tu.
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Linapokuja swala la mtu na mkewe ni vizuri kuwa na mtu mmoja ambaye akitoa ushauri anaweza kuufanyia kazi, ni vizuri kuwa na Mentor.
 
mwambie apende kuangalia vipindi youtube pia kuna chaneli za tv huwa wanaonyesha vipindi vya mapishi
 
Kwan mmeoana au ume muoa???
Mawasiliano na uwazi ni sehemu ya msingi sanaa. Wasiliana naye, mueleze haja yako na dukuduku la ndani yako, mali yako hiyo ishi nayo.

Unamuogopa mkeo? Unaogopa mwitikio wake? Unaogopa atajsikia vibaya ukimueleza?
Nikueleze tu, mwanamke akiwa hajui kitu au hana sifa flan, hana utaalamu fulan ndani ya nafsi yake anaelewa mapungufu yake, wewe si wa kwanza kuyaona hayo, marafiki,ndugu, kaka zake au walezi wake watakuwa wanajua.

Ukiwa unavunga, anakuona mnafki na anawaza usikute hata hayo mengine unayotaka haumuelezi. Wanapenda kupewa maelekezo hao, mchane. Wife hivi kuna siku mapishi unayaotea yanatoka matamu sanaa, huwa unafanyaje, Pika kama siku hizo. Itaamsha mawasiliano ya kila mnapokuwa mezani atauliza compliment zako, How ata improve atajua yeye Sio kazi yako.

Usikae kinyonge ,unakaa na dukuduku ndani ,una dhulumu nafsi yako, flow ni
1. Jambo halijarishi zuri au baya, kipimo kiwe Je, linatokea moyoni mwako??

2. Mpende jirani yako kama unavyo jipenda, means balance usikae ukiwa kisa unaogopa kusema yale unayoona sawa moyoni mwako, utaishi kwa majuto sanaaa.

MKeo ni kama bintiyo, first daughter wako jenga urafiki, sema kwa uwazi.
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Huyo ndiyo chaguo lako, na wakati wa chumba ndiyo kulikuwa muda wa kumuangalia au ndiyo wale akija geto unaagiza chips ndiyo matokeo yake hayo. Vinginevyo mpeleke njuweni.
 
...And he Asked me kama najua kupika I was Like najua kupika Chai na maji ya kuoga, and nna Idea kua unapopika ugali haitakiwi uweke Nyanya na kitunguu, (Akatabasam)..... Itaendelea!!!
it is what it is
 
Awe openminded tu dada wa kazi amfundishe akimaliza kozi ya dada wa kazi mnaamia youtube kuna mafundi haswa akimaliza na youtube basi utakuwa una certified chef.
 
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.

Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi mshitukia ,kwani naweza shika simu yake na kuchezea huku na kule ila hajawahi hata kuonesha hataki na siku za weekend tukiwa wote ndiyo kabisa simu anaitelekeza labda ikiita ndiyo anashughulika nayo.

Suala nalotaka kushare nawe (Mimi) ni kwamba mke wangu hajui kupika , iwe wali,ugali,sijui rost lile nalolifaidi migahawani lakini sijawahi onja taste hiyo.

Yeye anapenda sana nile chakula alichopika ,hususani mida ya jioni akiandaa dinner au siku za mapumziko lakini wapi,huwa anaotea mara Moja Moja lakini asilimia 80 hajui.

Tunaye dada wa kazi ambaye ni fundi haswa tena anajua lakini mke wangu hutaka yeye asimame kama mke anipikie na nikiangalia ni kweli anastahili kunipikia,Sasa akipika basi siku hiyo mjiandae kula mataputapu,

Dada wa kazi aliwahi kusema hili wazi kwangu ila nilimkanya nikajifanyq sijui kama chakula huwa kibovu lengo nilitaka heshima kwa my wife isishuke.

Mimi mwenyewe sijui kupika zaidi ya kuchemsha tu vitu ilimradi vimeiva ila huwa si vitamu, natamani ningekuwa najua ningemfundisha mke wangu A to Z jinsi ya kuandaa misosi.

Je,nimuanzeje?

Nimwambie ukweli?

Je,lugha gani nitumie ili tusigombane?

Nampenda sana mke wangu.

Kijana mdogo anawauliza nyie wanaume wa jamii forum,hata wanawake mnaweza kuchangia.
Kuna group za mapishi kila kona vitabu pia mtafutie. Ila ni Bora umwambie kwa utaratibu itapendeza
 
Kwa sasa tuna wake wabovu sana.

Uzuri wasaidizi wa kazi ndani ya miaka 5 hawatakuwepo kabisa
 
Back
Top Bottom