..Kuna tatizo la upotoshaji, na Watz kutojiongeza.
..Mauaji ya Rwanda yalifanywa na genge la Interahamwe.
..Hao Interahamwe walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo.
..Chama hicho kiliitwa MRND, au kwa Kiingereza, National Revolutionary Movement for Development.
..Ni vizuri Watz tukafahamu ukweli huo wa Kihistoria ili tuchukue tahadhari na AMANI yetu.