Kuna jambo Watanzania hatufahamu. Mauaji ya kimbari Rwanda yalifanywa na vijana wa chama tawala Interahamwe

..Kuna tatizo la upotoshaji, na Watz kutojiongeza.

..Mauaji ya Rwanda yalifanywa na genge la Interahamwe.

..Hao Interahamwe walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo.

..Chama hicho kiliitwa MRND, au kwa Kiingereza, National Revolutionary Movement for Development.

..Ni vizuri Watz tukafahamu ukweli huo wa Kihistoria ili tuchukue tahadhari na AMANI yetu.
Kwanini UVCCM wanazo kambi za kijeshi wenye vyeo vya kijeshi?
 
..Kuna tatizo la upotoshaji, na Watz kutojiongeza.

..Mauaji ya Rwanda yalifanywa na genge la Interahamwe.

..Hao Interahamwe walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo.

..Chama hicho kiliitwa MRND, au kwa Kiingereza, National Revolutionary Movement for Development.

..Ni vizuri Watz tukafahamu ukweli huo wa Kihistoria ili tuchukue tahadhari na AMANI yetu.
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
..UVCCM ilivyokengeuka sasa hivi, na mahusiano yake na vyombo vya dola, wanaweza kutekeleza mauaji makubwa hapa nchini.
 
..mauaji ya kimbari ya rwanda yalitekelezwa na vijana wa interahamwe.

..interahamwe walikuwa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo.

..kabla ya mauaji yale ya kimbari kulikuwa na matukio mengi ya mauaji madogo madogo.

..CCM kwa muda mrefu wamekuwa wakiwadanganya Watanzania kuhusu nani waliohusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda.
 
Back
Top Bottom