Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Tuendelee kuweka updates kwenye huu Uzi wakazi wa Kigamboni huenda Serikali ikafanya jambo,

Navuka muda huu naiona Mv. Magogoni ipo kwenye matengenezo, kivuko kimekua kimoja tu cha Mv. Kigamboni.
 
Tuendelee kuweka updates kwenye huu Uzi wakazi wa Kigamboni huenda Serikali ikafanya jambo,

Navuka muda huu naiona Mv. Magogoni ipo kwenye matengenezo, kivuko kimekua kimoja tu cha Mv. Kigamboni.
Asubuhi hii Tunatoka na Reverse ngoma Mv Magogoni imeshindwa kugeuka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asubuhi hii Tunatoka na Reverse ngoma Mv Magogoni imeshindwa kugeuka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hilo dude litakuja kutubwaga jamani,

Halafu hawasemi shida nini na ile Mv Kazi naona wanairemba kwa rangi ili ikirudi ionekane mpyaa, irudi sasa hilo li Magogoni likatengenezwe
 
Kivuko cha wapi kigamboni, kamanga au busisi mbona taarifa yako haileweki,tambua jamii forum
ni jukwaa la nchi nzima.

Soma kichwa cha habari ndugu.. hili ndio tatizo letu kubwa wabongo, huwa tunasikiliza au kuona ili tubishane na sio kuona au kusikiliza ili tuelewe [emoji3525][emoji3525]
 
Dah hizi panton zitaja kunisababishia matatizo ya bure [emoji26]
Imekuaje leo, jana nilikua huko, ilibidi nipite Darajani baada ya kusoma huu uzi. Sitaki matatizo kisa 200 naweka uhai rehani hapana.

Wakazi wa Kigamboni wanaoenda kama Gerezani au Ilala Boma, au Machinga complex, au wanaotoka upande wa huku sinza, kimara, magomeni kwenda Kigamboni wafikirie daladala sasa.

Tunawapenda
 
Siku hizi sina muda na Pantoni.

Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.

Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
Wacho woga, kipande kidogo tu afu kinakuwa shwari. Anyways hivi wale wenye viboti hawajaona fursa hio?
 
Watu wa kigamboni mnapapendea nini na mimi
Mnishawishi nije🙆🏽‍♀️ Yaani boti likijaa shida. Darajani malipo 🙆🏾‍♀️Nishawishini na mimi niipende nimejaribu kupaelewa naona pamenikalia kushoto sana
 
Siku hizi sina muda na Pantoni.

Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.

Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
michezoyangu hii na kuogelea sijui ah ah
 
Kuna Siku Nilipanda Hicho Kivuko Badala Ya Kutupeleka Magogoni Pale Kikaelekea Bandarini Na Ilikuwa Usiku.

Vile Vivuko Vina Hali Mbaya Kuna Siku Vitazamana Na Raia Walahi.

Hii ndio identity yetu ku- risk maisha kwa sababu ya upumbavu wa wanaofanya maamuzi
 
Hilo dude litakuja kutubwaga jamani,

Halafu hawasemi shida nini na ile Mv Kazi naona wanairemba kwa rangi ili ikirudi ionekane mpyaa, irudi sasa hilo li Magogoni likatengenezwe

Gear ya kwenda mbele haifanyi kazi inayofanya ni reverse
 
Back
Top Bottom