Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Asubuhi hii Tunatoka na Reverse ngoma Mv Magogoni imeshindwa kugeukaTuendelee kuweka updates kwenye huu Uzi wakazi wa Kigamboni huenda Serikali ikafanya jambo,
Navuka muda huu naiona Mv. Magogoni ipo kwenye matengenezo, kivuko kimekua kimoja tu cha Mv. Kigamboni.
Hilo dude litakuja kutubwaga jamani,Asubuhi hii Tunatoka na Reverse ngoma Mv Magogoni imeshindwa kugeuka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kivuko cha wapi kigamboni, kamanga au busisi mbona taarifa yako haileweki,tambua jamii forum
ni jukwaa la nchi nzima.
Ni balaaa tupuHilo dude litakuja kutubwaga jamani,
Halafu hawasemi shida nini na ile Mv Kazi naona wanairemba kwa rangi ili ikirudi ionekane mpyaa, irudi sasa hilo li Magogoni likatengenezwe
Imekuaje leo, jana nilikua huko, ilibidi nipite Darajani baada ya kusoma huu uzi. Sitaki matatizo kisa 200 naweka uhai rehani hapana.Dah hizi panton zitaja kunisababishia matatizo ya bure [emoji26]
Imekuaje mkuuPoleni
Wacho woga, kipande kidogo tu afu kinakuwa shwari. Anyways hivi wale wenye viboti hawajaona fursa hio?Siku hizi sina muda na Pantoni.
Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.
Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
michezoyangu hii na kuogelea sijui ah ahSiku hizi sina muda na Pantoni.
Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.
Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
Kuna Siku Nilipanda Hicho Kivuko Badala Ya Kutupeleka Magogoni Pale Kikaelekea Bandarini Na Ilikuwa Usiku.
Vile Vivuko Vina Hali Mbaya Kuna Siku Vitazamana Na Raia Walahi.
Hilo dude litakuja kutubwaga jamani,
Halafu hawasemi shida nini na ile Mv Kazi naona wanairemba kwa rangi ili ikirudi ionekane mpyaa, irudi sasa hilo li Magogoni likatengenezwe