Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.

Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.

Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.

Bado nchi fudenge. Tuzidishe
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi aoyameonekana mitaani Harare.

Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.

Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.

maombi.

Kwa kweli Tawala za kiafrika za Kiraia zinatia kinyaa na hasira .

Hebu Fikiri Mbunge wa Darasa la Saba analipwa posho kiinua mgongo na mshahara mkubwa kuliko Kanali wa Jeshi na hata Kamishina wa polisi.
Mbunge wa kuteuliwa tu kirafiki bila taaluma yoyote ya muhimu kwa Taifa analipwa mara 20 ya Mwalimu wa shule ya sekondari . Halafu anakaa bungeni hajadili maisha magumu yanayowakuta Watumishi wa umma badala yake anapiga kelele Mume au mke wa Rais alipwe mshahara wa kufanya anasa na starehe za dunia .
Watu kama hawa wanasababisha wananchi watamani serikali za kijeshi zenye uzalendo na uchungu wa kuifia nchi.

Wanajeshi tupeni Raha bara zima la Afrika kuondoa Tawala dhalimu kama za Kongo.
M23 ni mkombozi wa Wakongo na sio utawala wa Kinshasa unaojilimbikizia mali huku wakishindwa kulipa mishahara ya askari wake.

Miaka 60 ya uhuru Tawala za kiraia hazijafanya jambo la maana zaidi ya kujilimbikizia mali .
 
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.

Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.

Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
Nimekuja mbio nikafikiri ni kwenye ile nchi ambayo rais wake yupo juu ya sheria zote hata akiamua kukunyea hashitakiwi, yupo juu ya tume ya uchaguzi, yupo juu ya mihimili mingine bunge na mahakama kwa sababu ndio anateua mawakili wa mahakama kuu ili kinga yake ya kutoshtakiwa iendelee kuimarika.
 
Mambo haya yanafikirisha kweli

Maana ni kweli kabisa kuna wakati uongozi wa kirai unafukarisha nchi zetu na kuanza kudhalaurika na wakati huo huo tunao watu waliofundishwa kuifia nchi

Mimi nataka, mahali popote penye uongozi usiokidhi matarajio ya wananchi, uondolewe kwa namna yoyote

Wananchi tunakuwa tunapiga kura kuwakataa mabeberu weusi, unashangaa wanaiba kura kuingia madarakani kinguvu, kwa nini wasiangushwe na jeshi?
 
Kwa kweli Tawala za kiafrika za Kiraia zinatia kinyaa na hasira .

Hebu Fikiri Mbunge wa Darasa la Saba analipwa posho kiinua mgongo na mshahara mkubwa kuliko Kanali wa Jeshi na hata Kamishina wa polisi.
Mbunge wa kuteuliwa tu kirafiki bila taaluma yoyote ya muhimu kwa Taifa analipwa mara 20 ya Mwalimu wa shule ya sekondari . Halafu anakaa bungeni hajadili maisha magumu yanayowakuta Watumishi wa umma badala yake anapiga kelele Mume au mke wa Rais alipwe mshahara wa kufanya anasa na starehe za dunia .
Watu kama hawa wanasababisha wananchi watamani serikali za kijeshi zenye uzalendo na uchungu wa kuifia nchi.

Wanajeshi tupeni Raha bara zima la Afrika kuondoa Tawala dhalimu kama za Kongo.
M23 ni mkombozi wa Wakongo na sio utawala wa Kinshasa unaojilimbikizia mali huku wakishindwa kulipa mishahara ya askari wake.

Miaka 60 ya uhuru Tawala za kiraia hazijafanya jambo la maana zaidi ya kujilimbikizia mali .
you got a point😜
 
Back
Top Bottom