Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Kwa kweli Tawala za kiafrika za Kiraia zinatia kinyaa na hasira .

Hebu Fikiri Mbunge wa Darasa la Saba analipwa posho kiinua mgongo na mshahara mkubwa kuliko Kanali wa Jeshi na hata Kamishina wa polisi.
Mbunge wa kuteuliwa tu kirafiki bila taaluma yoyote ya muhimu kwa Taifa analipwa mara 20 ya Mwalimu wa shule ya sekondari . Halafu anakaa bungeni hajadili maisha magumu yanayowakuta Watumishi wa umma badala yake anapiga kelele Mume au mke wa Rais alipwe mshahara wa kufanya anasa na starehe za dunia .
Watu kama hawa wanasababisha wananchi watamani serikali za kijeshi zenye uzalendo na uchungu wa kuifia nchi.

Wanajeshi tupeni Raha bara zima la Afrika kuondoa Tawala dhalimu kama za Kongo.
M23 ni mkombozi wa Wakongo na sio utawala wa Kinshasa unaojilimbikizia mali huku wakishindwa kulipa mishahara ya askari wake.

Miaka 60 ya uhuru Tawala za kiraia hazijafanya jambo la maana zaidi ya kujilimbikizia mali .
Point za akili kama hizi mbuzi wengi kwenye ulimwengu wa unafiki na uchawa kwa viongozi wataupinga but ukweli Africa tumefeli tumefeli sana ukiangalia mambo yanayotokea Uganda,Sudan Rwanda na nchi nyingi ndo utajua cc hatuwezi kujitawala
 
Kwa kweli Tawala za kiafrika za Kiraia zinatia kinyaa na hasira .

Hebu Fikiri Mbunge wa Darasa la Saba analipwa posho kiinua mgongo na mshahara mkubwa kuliko Kanali wa Jeshi na hata Kamishina wa polisi.
Mbunge wa kuteuliwa tu kirafiki bila taaluma yoyote ya muhimu kwa Taifa analipwa mara 20 ya Mwalimu wa shule ya sekondari . Halafu anakaa bungeni hajadili maisha magumu yanayowakuta Watumishi wa umma badala yake anapiga kelele Mume au mke wa Rais alipwe mshahara wa kufanya anasa na starehe za dunia .
Watu kama hawa wanasababisha wananchi watamani serikali za kijeshi zenye uzalendo na uchungu wa kuifia nchi.
Una hoja ya msingi sana ila sijui kwama wengi wamekuelewa
 
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.

Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.

Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.

Safi sana, hawa viongozi wapuuzi wa Kiafrika wapinduliwe tu, tunataka maendeleo Afrika.
 
Kama itatokea itakuwa ni marudio ya 2017 kiaina.

Kuna kitu chaitwa "tipping point" hata ufanyeje mazee uvumilivu ukifikia hiyo TP na wakipanga uondolewe weye waondolewa tu.

Asemayo mzee Geza ni ya kuyasikiliza kwa umakini kwani yote yatoka kwenye MPANGO.
 
Wahuni wamepiga zoezi la kushtukiza hata Rais alikua ajui
 
Back
Top Bottom