Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwahiyo Gari za Wanajeshi tu zikipita ni jaribio tayari?Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
Mpaka yanajulikana basi yameshafeliNikajua tayari
Zimbabwe Hadi AfricaKumeanza kuchangamka
Yaje na huku. Hawa nzi wa kijani wanalifisadi sana hili Taifa na wameshaligeuza kuwa lao binafsi.Bora yatokee tu.
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
Bado nchi fudenge. Tuzidishe
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi aoyameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
maombi.
Nimekuja mbio nikafikiri ni kwenye ile nchi ambayo rais wake yupo juu ya sheria zote hata akiamua kukunyea hashitakiwi, yupo juu ya tume ya uchaguzi, yupo juu ya mihimili mingine bunge na mahakama kwa sababu ndio anateua mawakili wa mahakama kuu ili kinga yake ya kutoshtakiwa iendelee kuimarika.Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
Gari za kijeshi from nowhere zimezagaa mitaani wajeda in full gear hiyo ndio tafsiri yake.Kwahiyo Gari za Wanajeshi tu zikipita ni jaribio tayari?
Tupaate hata clipGari za kijeshi from nowhere zimezagaa mitaani wajeda in full gear hiyo ndio tafsiri yake.
May be 2200 huko!Banana Republic lini?
Washenzi wanaingia congo chapHabari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi wameamua kudeal na wakoloni weusi.
you got a point😜Kwa kweli Tawala za kiafrika za Kiraia zinatia kinyaa na hasira .
Hebu Fikiri Mbunge wa Darasa la Saba analipwa posho kiinua mgongo na mshahara mkubwa kuliko Kanali wa Jeshi na hata Kamishina wa polisi.
Mbunge wa kuteuliwa tu kirafiki bila taaluma yoyote ya muhimu kwa Taifa analipwa mara 20 ya Mwalimu wa shule ya sekondari . Halafu anakaa bungeni hajadili maisha magumu yanayowakuta Watumishi wa umma badala yake anapiga kelele Mume au mke wa Rais alipwe mshahara wa kufanya anasa na starehe za dunia .
Watu kama hawa wanasababisha wananchi watamani serikali za kijeshi zenye uzalendo na uchungu wa kuifia nchi.
Wanajeshi tupeni Raha bara zima la Afrika kuondoa Tawala dhalimu kama za Kongo.
M23 ni mkombozi wa Wakongo na sio utawala wa Kinshasa unaojilimbikizia mali huku wakishindwa kulipa mishahara ya askari wake.
Miaka 60 ya uhuru Tawala za kiraia hazijafanya jambo la maana zaidi ya kujilimbikizia mali .