Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Vyama vya Uhuru vimepoteza muelekeo hebu angalia CCM wananchi wanadai Katiba Mpya na wao wanasema Katiba ni "Kijitabu tu"
 
Labda kama haujawahi kuishi Zimbabwe, literally wanajeshi na war veterans hata Mugabe walikuwa wanamuona soft na uporwaji wa ardhi zilizokuwa zikimilikiwa na walowezi wa Kizungu zilitoka kwa wanajeshi na war veterans. Kama Munangagwa alikuwa na mpango wa kuwapora ardhi kuwarudisha Wazungu lazima wpindue tu.
The last time I was in Zim was 2014, unless if the political dynamics have drastically changed since the last time I was there wanajeshi wako against Wazungu vibaya mno na wanaona wanasiasa ni soft na ni sellouts.
 
Bandiko lako ni zuri ila umechemsha kwa kuamini kuwa kusoma sana ni kupata mshahara mkubwa(regardless the sector) kuwazidi wasiosoma.
Kama unasoma ili upate mshahara mkubwa zaidi ya wasiosoma, you'll be disappointed.
 
Tumewachokaaaaaaa wao na watoto wao
 
Nakumbuka walisema Wamemweka Mugabe mahali salama hivyo Jeshi liko ktk majukum ya kuweka mambo sawa na hakuna Mapinduzi.
Jeshi lilikuwa likimuona Mugabe kuwa ni soft na ameanza kulegeza misimamo ya Africanization, current soldiers and war veterans hawataki kabisa mambo ya kuwalegezea kamba Wazungu.
Uporwaji wa ardhi zilizokuwa zikimilikiwa na Wazungu(remember Wazungu nao pia walizipora kutoka kwa natives) ilikuwa ni pressure ya soldiers pamoja na war veterans na ndiyo maana hao ndiyo waliofaidika na uporaji huo.
 
Unazungumzia Zimbabwe ipi? Unazungumzia askari na veterans gani waliochukua ardhi na mashamba ya wazungu? Hawa walipewa chakula Cha Msaada na China jana au wengine?
 
S Safi Sanaa CCM Itoke tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…