Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Point za akili kama hizi mbuzi wengi kwenye ulimwengu wa unafiki na uchawa kwa viongozi wataupinga but ukweli Africa tumefeli tumefeli sana ukiangalia mambo yanayotokea Uganda,Sudan Rwanda na nchi nyingi ndo utajua cc hatuwezi kujitawala
 
Una hoja ya msingi sana ila sijui kwama wengi wamekuelewa
 
Safi sana, hawa viongozi wapuuzi wa Kiafrika wapinduliwe tu, tunataka maendeleo Afrika.
 
Kama itatokea itakuwa ni marudio ya 2017 kiaina.

Kuna kitu chaitwa "tipping point" hata ufanyeje mazee uvumilivu ukifikia hiyo TP na wakipanga uondolewe weye waondolewa tu.

Asemayo mzee Geza ni ya kuyasikiliza kwa umakini kwani yote yatoka kwenye MPANGO.
 
Huyu wa sasa pia alimpindua Mugabe , kwahiyo hakuna afadhali
 
Wahuni wamepiga zoezi la kushtukiza hata Rais alikua ajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…