Tetesi: Kuna jaribio la Mapinduzi nchini Zimbabwe muda huu

Geza anasema suala la Urithi wa wa uongozi ndani ya chama dola kongwe tawala ZANU-PF "safari hii hakuna utani, mJitayarishe kwa msukumo wa mwisho utakaoleta mabadiliko mapya ya kushangaza ndani ya chama "

28 February 2025
Harare, Zimbabwe

Mzee Blessed Geza matatani, ajificha baada huku mwandishi aliyemuhoji Mzee Geza akamatwa


View: https://m.youtube.com/watch?v=XIBB4ewAvzQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…