Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote.
Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.
Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.
Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?
Amani? Nifanyaje anitoke?
Nimsahau hajaoa nasijaolewa.