Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote.

Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?

Amani? Nifanyaje anitoke?

Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Utawadaka
 
Hilo swala linawatokea wengi Sana na Kuna sababu nyingi tu la mwanaume kutokukutongoza hata Kama tayari anakupenda,
Na mbaya zaidi ukijilengesha huwa hayadumu kwa kuwa wanaume wengi huwafikiria tofauti.
Kuwa naye rafiki kama muda unaruhusu ukiangalia ukaribu na mazingira Kama yanafaa.
 
Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote.

Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?

Amani? Nifanyaje anitoke?

Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Mtongoze wewe kwani mbaya nini? Si ikinaumana mwisho wa yote. Ila kama wewe si mchaga naye ni mchaga, kimbia haraka kabla hujaumizwa mwanangu
 
Uvumilivu umenishind nimeamua tu kusema hapa hapa ki ukweli nakupenda sana
 
Humu kuna wataalamu wa kila namna kuna mtu humu anaweza kumtazama huyo bro anavyokutazama na akakubainishia huo ni aina gani ya mtazamo.Cha msingi wewe turushie picha yako na ya huyo bro akiwa anakukata jicho then tutakushauri huo uangaliaji wa huyo bro unaashiria nini
 
Back
Top Bottom