Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Inaelekea unataka akutongoze, kwanini usimualike mahali Kwa dinner ili kumshukuru kwa “msaada” wake kisha nawe ukaanza kumuangalia “kimahaba”?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikute mtu ndo macho yake yalivyo.

Wewe Tu na mapepe yako ukaona ushapendwa.

Anyway kama Una namba yake si uwe tu unamsalimia asubuhi na kumpa good night kila siku ...kwa wiki moja asipo react basi hakutaki au gay...
Hapo kwenye Gay mmmmh
 
Kumbuka asipoanza yeye basii
Hiki ndo kitu kwa wawanawake huwa kinashinda sanaaa kuna kipindi niliwahi kuwa morogoro kikazi kwa kama miaka mi3 hivi ofcn kulikuwa na kidada flan kinamsaidia secretary mambo madogomadogo baada ya ile project kuisha nkahamishiwa mkoa mwingine sasa hiki kidada ikawa texts hazikauki mara nimekumiss blaablaaa siku moja nkakitolea uvivu nkakitongoza kikakubali kwenye storystory ndo kikaja kunambia kilikuwa kinanipenda sanaaa tangu nikiwa morogoro nkakiambia sasa si ungesema????? Kikanambia kilikuwa kinasubir mm ndo niongee na kama nisingeongea baaasi kangekufa na machungu yake milele....ebo mm nikuanze vipi ilhali wala sijakiwazia chchte???? Kama umemuelewa mtu funguka tu dada yangu maisha mafupi na dunia sio yetu hii
 
Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote.

Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?

Amani? Nifanyaje anitoke?

Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Rara naye mbere(mbake)
 
Halafu kunasiku tena maza alimwambia ngoja nikulete document zangu akakataa akasema naomba yule mtoto wako aletee kwenda mjini kila siku utachoka akitaka kitu anadai mie ndio nimletee hata kama hakimuhusu maza
Popote ulipo ww jamaa muda sio mrefu utatunukiwa papuchi
 
ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?
Hongera kwa kumpenda pia, vipi tangu hizo process ziishe mmeshawahi kuwasiliana tena?

Nifanyaje anitoke?

Nimsahau hajaoa nasijaolewa
Kwanini akutoke? Sifahamu umejuaje kama hajaoa? Kama unampenda kwa dhati mdadisi pia mama yako kama anajuana nae huyo kijana, pia mdadisi huyo kijana vizuri, mawasiliano yake si bado unayo? muendelee kuchat n.k ili muendelee kutengeneza ukaribu mwisho wa siku kama mmependana kweli mambo yatatick tu automatically, ila kuwa makini sana, usikurupuke ili usije kujuta baadae kwa mambo ya kuliwa kimasihara n.k. Be carefully and goodlucky.
 
Sasa si ufunguke tu my dear...chelewa chelewa kikukute kitu ohooo...
 
Back
Top Bottom