Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Ni kweli Mwanamke asipokua hatongozwi na wanaume anakua desperate??
(Akikosa attention kutoka kwa wanaume anachanganyikiwa /pagawa?)
Inategemea.
Ubongo wako umeulisha nn kuhusu wewe na utongozwaji.
Some of us, kabla hujanitongoza lazima niwe nimejiandaa kiakili kuwa one is hitting on me.
Vinginevyo inakera.
So huwezi kuwa desperate na kutongozwa if kutongozwa doesn't kukukamilisha any part of your womanhood.

Randomly utongozwaji issa a no.
Lakin iwapo ni specific then sio kuwa utachanganyikiwa au kuwa desperate as yu have put it.
Lakin utakuwa tu unatamani that particular person
Which yes, unaweza kuanza pia.
Sasa desperation inatoka wapi?
 
Nimependa jibu..
Nipe elimu asee maana pande hii niko mweupeee.
It doesn't kamilisha anypart f womanhood but kama mwanamke haitwi au kusimamishwa na mtu kwa muda mrefu inamfanya ajisikie maybe hana mvuto.. Ambacho ni kitu mnathamini sana. Kutuvutia
 
Sio wanawake wote.
I for one, sipendi kutongozwa kabiiiisa.

I hate it.
Na niko very sexy(you know it)
And I know it too.
Sasa hakunaga tu jibu moja kwa kila mtu.
Wapo wanawake wanaamini kutongozwa manake ndio kipimo cha mvuto.
Kama vile wapo wanaume wanaoamini kutongoza au kuwa na wanawake wengi ndio urijali.

Sasa hii ni very subjective issue kwa kweli.
Nini kipo ndani yako kuhusu mtazamo wa wengine kwako!
Nini kinakutafsiri wewe na personality yako .kuhusu mahusiano?
Nini kinakukamilisha as a woman?

Kutongozwa?
Kuwe ndo kipimo cha mvuto?
Sio kweli!
 
Sio wanawake wote.
I for one, sipendi kutongozwa kabiiiisa.

I hate it.
Na niko very sexy(you know it)
And I know it too.
Sasa hakunaga tu jibu moja kwa kila mtu.
Wapo wanawake wanaamini kutongozwa manake ndio kipimo cha mvuto.
Kama vile wapo wanaume wanaoamini kutongozwa au kuwa na wanawake wengi ndio urijali.

Sasa hii ni very subjective issue kwa kweli.
Nini kipo ndani yako kuhusu mtazamo wa wengine kwako!
Nini kinakutafsiri wewe na personality yako .kuhusu mahusiano?
Nini kinakukamilisha as a woman?

Kutongozwa?
Kuwe ndo kipimo cha mvuto?
Sio kweli!
Jibu lako limenifanya ni undergo reaction toward stimulus 😆😆
You're aisee though kitu kimoja kimemisi

Now I put it together.
Kwamba kutongozwa kunamfanya mwanamke asiwe desperate ni "Perspective view" au mentality ya mtu husika ila haimaanishi kwamba ndio ukweli right???
I concur yapo mengi yanayokamilisha uanamke mbali na kuvutia jinsia tofauti.
 
Sio lazima aanze yeye kutoa hisia zake, unaweza kuanza ww mwenyewe
 
Jibu lako limenifanya ni undergo reaction toward stimulus 😆😆
You're aisee though kitu kimoja kimemisi

Now I put it together.
Kwamba kutongozwa kunamfanya mwanamke asiwe desperate ni "Perspective view" au mentality ya mtu husika ila haimaanishi kwamba ndio ukweli right???
I concur yapo mengi yanayokamilisha uanamke mbali na kuvutia jinsia tofauti.
Hahahaha ile kesi kwani haiishi lol.

Kabiiiisa.
Na we need to normalize this.
Girls shouldn't be kuona kutongozwa ni iiiiiiishu hivyo.
Babangu alizoea kuniita Princess.
Mamangu alikuwa anasifu miguu yangu sana.
So hakuna namna leo kuniita beautiful, sexy, na nini kutanifanya nione eeeeenh jamani huyu mwanaume kanipenda.
Nin tunalisha ubongo kuhusu mwonekano.
Kuhusu sisi ndani.
Me have very cute girls, na huwa nawaambia.
That you are beautiful, its obvious.
Sasa usione ni kitu cha ajabu, au usione ni kitu cha kuhangaika nacho kwamba mtu hajakutongoza au wanakwambia you are beautiful wewe uhamishe Milima na mabonde.

noooop!!
One can be both bold and beautiful
na vyote vikawepo tu mahala pake.
Bila maathiriano yoyote.
 
Back
Top Bottom