Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote.

Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei? Yeye huniangalia tu kimahaba,? Hadi nakosa nguvu?

Amani? Nifanyaje anitoke?

Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Potential mcharuko
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mi yangu ya kawaida mkuu, ila nakumbuka chuo madem tukiwa discussion walikua wanasema nisiwaangalie nna macho makali.
Tukigonganisha macho manzi anasema vishu una macho makali wewe. Kuna uhusiano na hilo la kuangalia kimahaba wakuu?? Mana mi nlikua nawaangalia kawaida tu ..
Ulishaambiwa macho yako makali, Sasa inahusianaje na kuangalia kimahaba hapo mkuu ?, binafsi nafahamu kuwa kuangalia kimahaba ni Ile ya macho kumchuzi [emoji23][emoji23] ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Ahahhaahahaahahahahahhahahahhahaha.
Sisi wengine acha tu Katiba mpya ije.
Kuna namna naona navozidi kuzeeka na bhangi zinazidi.
Mi sredi kama hizi si inatakiwa niwe na busara nashauri kuhusu Ukimwi, mimba zisizotarajiwa, mila na desturi za Kiafrika.
Kwenda motoni, mambo ya uasherati sio mazuri.
Ila ona nayoandika!
Mxxxxxxxxxiiie
Elimu haizeeki tulishen hizo hizo Bhangi.halafu nasikia bangi za zamani ni tamu sana
 
Uliku
Imagine yangu ilikutwa kwenye daftari la mwalimu wa Bookeeping.
Na nilikuwa namkataa, na akamjua na aliyeandika.
Na somo lake nilikuwa naliweza ila nikagoma kulisoma.
Hehehhehehhehehehhee
wa unacheza na moto wallahi
 
Back
Top Bottom