Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Wanawake wengi ndio mnapo-fail kwenye hili.
Kuingia kwenye mahusiano au kuolewa na huyo njemba unataka. Kutongoza sio lazima awe mwanaume tu mtongozaji,wanawake pia mna aina yenu ya kumtongoza mwanaume.
Mwanamke kama umempenda mwanaume tumia mbinu zingine kumfanya awe mtu wako. Muda mwingine mpaka kuoana.
Ile mnakutana mara ya kwanza au mara ya pili fanya uwe mchangamufu kiasi kwake. Endelea kumzoea,sio mbaya hata ukimtext “vipi boss kubwa umekula?”. ”usije ukawa unaendelea kupiga kazi zetu tu huku unakosa hata muda wa kula. kitu kama ”umeshatoka ofisini boss?”.
Sikia usiogope mwanaume wa kuishi nae au hata mpenzi una nafasi ya kumtengeneza wewe unaemtaka. Nimeona mara nyingi wanawake wasio waoga sana,wale wachangamufu kiasi ndio wanaoolewa