Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Usikute mtu ndo macho yake yalivyo..

Wewe Tu na mapepe yako ukaona ushapendwa..

Anyway kama Una namba take si uwe Tu unamsalimia asubuhi na kumpa good nite kila siku ...kwa wiki moja asipo react basi hakutaki au gay...
Jehovah 😁😁😁😁
 
Hahahahahhaha kwamba anakutizama tu kimahaba!
Ukute ni macho yake, na alikuwa anakusikiliza kwa makini.

Sasa sio issue, we umemwelewa,sio?
Anza kumwita mpenzi.
As in umekula mpenzi?
Umeshindaje mwaya.
Asipomind ,wa kwako huyo
Amtoe dinner sehemu nzuri kuwe na mazungumzo ya kawaida na utani wa kumfanya kumkumbuka mtu then kaa kimya kwa muda kadhaa mbona simpo sana
 
Hahahahahhaha kwamba anakutizama tu kimahaba!
Ukute ni macho yake, na alikuwa anakusikiliza kwa makini.

Sasa sio issue, we umemwelewa,sio?
Anza kumwita mpenzi.
As in umekula mpenzi?
Umeshindaje mwaya.
Asipomind ,wa kwako huyo
Sio macho yake hadi watu wakakonyezana yaani amekaa hapo ananiangalia hadi akiitwa na mtu hasikii anatabasamu tu kwangu as if tuko wenyewe katoka kabisa eneo lakazi .
Niliona aibu kapigwa na butwaa hivyoo.
 
Back
Top Bottom