Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Wanaume wachache sana wanaweza kuspot love kwa wanawake wababe.
Sasa sio vitu vya kujaribisha if you aren't one.
Aiseh hii kweli aiseh 🤪🤪🤪🤪kuna siku nilikamatika kirahisi mpuuzi mimi..nonsense

Ila mwamba nilikuwa namuelewa muda sana nikavunga kumbe nae wooooiiiii alishaganielewa mjinga yule
 
Jamii humu niwatu wanakushauri vizuri ila sio wote.
Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei ?
Yeye huniangalia tu kimahaba,??
Hadi nakosa nguvu??
Amani??
Nifanyaje anitoke??
Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Kwa wewe umemuelewa unaogopa kuongea wewe.
Kingine hiyo conection mama yako kashaiona anakufaa usidhani ni vyeti tuu hapo.ebu jiongeze bhana anza hata na na vimeseji vya uongo na kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuogopa.Eti ananiangalia kimahaba! Kumchana live unashindwaje? Kama huwez mwombe mtoke out kakae nae zero distance mpige mate then tayari chalii ni wako.Kuna haja ya kuwafunza wanetu maana halisi ya utandawaz aisee.Na kama unaogopa utaitwa Malaya hata akikutongoza ukikubali bado jina hilo litakuhusu gal
Sasa hasemi kitu chochote na siwezi muanza mimi naogopa
 
Hebu mwambieni jamani anamuangusha mama yake loh
Mama kamwelewa jamaa anamfaa mwanae na mwanae nae anashindwa kutumia fursa.
Au nyuma ya pazia labda mama kashaongea na jamaa kuwa atampa mwanae maana wazazi wengine siku hizi wamekuwa koadi kwa watoto wao kama wakiona mambo hayaendi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuogopa.Eti ananiangalia kimahaba! Kumchana live unashindwaje? Kama huwez mwombe mtoke out kakae nae zero distance mpige mate then tayari chalii ni wako.Kuna haja ya kuwafunza wanetu maana halisi ya utandawaz aisee.Na kama unaogopa utaitwa Malaya hata akikutongoza ukikubali bado jina hilo litakuhusu gal
Asante kwa ushauri ni mzuri sana
 
Endelea kuogopa.Eti ananiangalia kimahaba! Kumchana live unashindwaje? Kama huwez mwombe mtoke out kakae nae zero distance mpige mate then tayari chalii ni wako.Kuna haja ya kuwafunza wanetu maana halisi ya utandawaz aisee.Na kama unaogopa utaitwa Malaya hata akikutongoza ukikubali bado jina hilo litakuhusu gal
huu ujasiri nimepungukiwa aiseh 😀😀😀amkule nini eti...dadek
 
Mama kamwelewa jamaa anamfaa mwanae na mwanae nae anashindwa kutumia fursa.
Au nyuma ya pazia labda mama kashaongea na jamaa kuwa atampa mwanae maana wazazi wengine siku hizi wamekuwa koadi kwa watoto wao kama wakiona mambo hayaendi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaee 😁😁ila dada tayari anambinu za kivita ila anatuzuga tu..fuatilia mwandiko wake utaniambia
 
Jamii humu niwatu wanakushauri vizuri ila sio wote.
Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei ?
Yeye huniangalia tu kimahaba,??
Hadi nakosa nguvu??
Amani??
Nifanyaje anitoke??
Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Akuangalia kimahaba unakosa nguvu.
 
Back
Top Bottom