Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Jamii humu niwatu wanakushauri vizuri ila sio wote.
Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.
Tuko karne ya 21 kama umemfeel chalii mfate wewe mwambie mambo yakusubiri mwanaume akupige sound ndio yametufikisha huku wazee wetu nalala vyumba tofauti.
 
Endelea kuogopa.Eti ananiangalia kimahaba! Kumchana live unashindwaje? Kama huwez mwombe mtoke out kakae nae zero distance mpige mate then tayari chalii ni wako.Kuna haja ya kuwafunza wanetu maana halisi ya utandawaz aisee.Na kama unaogopa utaitwa Malaya hata akikutongoza ukikubali bado jina hilo litakuhusu gal
Kibingwa sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari yako na unavyo jibu watu humu kama mzaha hivi. Ila imenikumbusha kisa fulani cha kweli kabisa, nitakisimulia kwa ufupi sana ili ujue busara za wazazi, huenda mama yako amemwambia mdau kwamba ana binti yake (ambaye ndiyo wewe) kama anahitaji mke, akutaze kisha mengine yafate. Hii ni dhana yangu ya hakika kabisa, huenda hayo mengine ni ziada tu katika kutilia uzito jambo hilo.

Nakuja kusimulia hicho kisa.....
 
Back
Top Bottom