Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Unique Flower

Kisa chenyewe kwa ufupi.

Kuna mtu mzima fulani alikuwa anafamiana na mtu mwema mwingine. Katika mazungumzo siku moja akagusia suala la kuoa,yule mtu mzima akamwambia nina binti yangu,nitamtuma kwako akuletee kitambaa,kisha utampa majibu kwa munasaba wa kitambaa hicho kama kizuri kinafaa au la. Yaani kama kinafaa (Yule mja mwema atampa jibu huyo binti kwamba nenda kamwambie baba yako "Kitambaa nimekiona kizuri sana kina nifaa" au kinyume chake,yaani jibu la kitambaa ni huyo binti) au la. Binti aka peleka kile kitambaa,yule mja mwema akamwambia "Nenda kamwambie baba yako kwamba kitambaa nimekion na nimekipenda mno". Binti hajui kama kitambaa ni yeye.

Sasa huenda mama yako anaishi katika busaea hizi. Fatilia.

Shukrani.
 
Jamii humu niwatu wanakushauri vizuri ila sio wote.
Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu.

Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo kijana tokea tuwe tunafanya hiyo business ananiangalia kimahaba ila haongei ananiangalia hadi naona aibu wadada wahapo ofisini wanakonyezana.

Hivi majuzi ilipokamilika hizo pasi nikaondoka ila hadi na leo namkumbuka ila tatizo lipo hivi mbona haongei ?
Yeye huniangalia tu kimahaba,??
Hadi nakosa nguvu??
Amani??
Nifanyaje anitoke??
Nimsahau hajaoa nasijaolewa.
Mbona kama unajilengesha mwanangu?
 
Back
Top Bottom