Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sasa hasemi kitu chochote na siwezi muanza mimi naogopaMpe nafasi nawewe anaumia mwenzako acha kunyima ulichopewa bure.
Ni kama mtoto msogeze karibu tu atasema mwenyewe we mpe ukaribu wako sometimes utani n.k..😀Sasa hasemi kitu chochote na siwezi muanza mimi naogopa
Mpe nafasi nawewe anaumia mwenzako acha kunyima ulichopewa bure.
Aisee baharia kwenye ubora wakeInaelekea unataka akutongoze, kwanini usimualike mahali Kwa dinner ili kumshukuru kwa “msaada” wake kisha nawe ukaanza kumuangalia “kimahaba”?
Ampe tu si ameshaelewa ampe kitu hicho keshaelewa halafu bado anavungavunga..😁Kampenda huyo jamaa na yuko tayari kumpa K lakini kwanza anataka mtongozo amrushe rusheee kisha ndiyo amkubalie 😂😂😂
Utakufa na sononeko we si umwambie nipe namba zake nikusaidie kumwambia huyo SHEMELASasa hasemi kitu chochote na siwezi muanza mimi naogopa
Aisee baharia kwenye ubora wake
Si ndo hapo sasa...kaniudhi kama niniInaelekea unataka akutongoze, kwanini usimualike mahali Kwa dinner ili kumshukuru kwa “msaada” wake kisha nawe ukaanza kumuangalia “kimahaba”?
Unaogopa nini na wewe Hebu hukooooSasa hasemi kitu chochote na siwezi muanza mimi naogopa
Unajua aliniangalia kimahaba mpaka wenzake wakaanza kukonyezana?Usikute mtu ndo macho yake yalivyo..
Wewe Tu na mapepe yako ukaona ushapendwa..
Anyway kama Una namba take si uwe Tu unamsalimia asubuhi na kumpa good nite kila siku ...kwa wiki moja asipo react basi hakutaki au gay...
Walikuwa watu wengii nikazugaSi ndo hapo sasa...kaniudhi kama nini
Haya ndo maneno sasaUtakufa na sononeko we si umwambie nipe namba zake nikusaidie kumwambia huyo SHEMELA
Kuna siku nilimcall nikamwomba masaada alinisaidia ila shida sianawake naogopa someone akiwa na mtu hajaoa ila yupo na mtuHahahahahhaha kwamba anakutizama tu kimahaba!
Ukute ni macho yake, na alikuwa anakisikiliza kwa makini.
Sasa sio issue, we umemwelewa.
Anza kumwita mpenzi.
As in umekula mpenzi?
Umeshindaje mwaya.
Asipomind ,wa kwako huyo
Umeniudhi kama nini na wewe...Walikuwa watu wengii nikazuga