Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
- Thread starter
-
- #61
Labda kama anatumia mizimu ya asili ya ukoo wake lakini kama ni biblia au quruan huyo ni tapeli tu,je ktk familia yake na kijijini kwake amewamaliza majobless na wagonjwa na maskini??Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Wewe ni mjinga na mpambe wake kama siyo wewe mwenyewe tapeliJF bwana hakuna MTU atapewa connection hapa .
Mimi nimeongea nilichoshuhudia tu .sifikirii mchungaji wa kweli akatafuta watu mitandaoni .
ππ½ππ½ππ½nimepokeaLabda kama anatumia mizimu ya asili ya ukoo wake lakini kama ni biblia au quruan huyo ni tapeli tu,je ktk familia yake na kijijini kwake amewamaliza majobless na wagonjwa na maskini??
Acha ujinga wa kutumika
NimepokeaWewe ni mjinga na mpambe wake kama siyo wewe mwenyewe tapeli
Sawa ππ½ππ½ππ½Nipe address Mimi nitaenda na kuleta ushuhuda hapa!
Huyo mchungaji anashughulika na mambo ya kidunia tu sio?JF bwana hakuna MTU atapewa connection hapa .
Mimi nimeongea nilichoshuhudia tu .sifikirii mchungaji wa kweli akatafuta watu mitandaoni .
πΉπΉπΉπππ
Kazi ushapata au hujasikia kwa huyo pasta hakuna joblessπ
Shikilia hapo hapo Mrs Pridah Musk πΉπΉAu nitaongea na shem Trump ukae pale White house uwachachue kidogoπ
Usijali jirani umepita bila kupingwa πΉMsinisahau na mimi tafadhali kwenye hiyo harusi,
Nitakua msimamizi mkuu upande wa vinywaji,
Naahidi sitawaangusha.
Acha matani!Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .π₯ΊππΏββ
Nimeipenda bureExactly π― π― πππ
View attachment 3179958
Aimeen!Miujiza mingi aliyoitenda nani Leo mwanaume ata-teendaa ah,
Goligotha shetaani aliiipata mwanadamu pale tulikombolewa aah...
Hata bado Leo Yesu ashangaza uje kwake miujiza anatendaa anaponya Yesu aokoa.....
Uje kwake upate kuponywaa
Hakuna kweli ..... Hakuna
Aliye mwanaume kama Yesu
Hakuna kweli hakuna secretarybird
Utumishi wa kweli upo moyoni mwako. Kuwa mtu mwema (kadri ya uwezo wako) ndani ya jamii unamoishi. Tenda mema, tii sheria za nchi pamoja na maadili ya jamii uliyomo.Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .
Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Tena kimyakimya bila serekali kutangaza ajira π π πUnataka kusema vijana wote waliosoma mfano ualimu wapo kama laki mbili wote hao wakija kusali hapo wataajiriwa.