Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

JF bwana hakuna MTU atapewa connection hapa .

Mimi nimeongea nilichoshuhudia tu .sifikirii mchungaji wa kweli akatafuta watu mitandaoni .
 
Nipe address Mimi nitaenda na kuleta ushuhuda hapa! Tusimnyime haki mtoa kwa kumuita Tapeli au anafanya promotion!!!! Inaweza Kuwa ni kweli
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Labda kama anatumia mizimu ya asili ya ukoo wake lakini kama ni biblia au quruan huyo ni tapeli tu,je ktk familia yake na kijijini kwake amewamaliza majobless na wagonjwa na maskini??

Acha ujinga wa kutumika
 
🙏🏽🙏🏽🙏🏽nimepokea
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu kwahiyo siku hizi kanisa limekuwa sehemu ya kwenda kufanikisha kupata mafanikio na sio kuitafuta mbingu
 
JF bwana hakuna MTU atapewa connection hapa .

Mimi nimeongea nilichoshuhudia tu .sifikirii mchungaji wa kweli akatafuta watu mitandaoni .
Huyo mchungaji anashughulika na mambo ya kidunia tu sio?

Naona main topic yako ni Kupata kazi au kupata Mume!
Huyo mchungaji haziongozi Kondoo zake kuishi kwa kumcha Mungu ili wapate kwenda Mbinguni/Peponi?

Hii ni biashara tu hakuna mchungaji hapo.
 
Ni ukweli ulio wazo kuwa Wakristo kwa ujumla wao duniani ni watu wasomi wa elimu dunia na watambuzi wa elimu hiyo kuliko Waslam hili halina ubishi.

Ila sasa cha ajabu sana Wakristo ni rahisi sana kudanganywa na kuiingizwa mkenge.Kumuingiza mkenge Muislam ni ngumu kupita maelezo.Inabidi ujipange na ukimzengua mnajua habari zao.

Ona babu wa Loliondo alivyoingiza watu mkenge,Ona Bushiri anavyoingiza watu mkenge,ona Zumaridi anavyoingiza watu mkenge kuna mdogo wangu wa kike limekuwa kama taahira,liko dhebebu moja Kenya niliona waumini waliinama chini mchungaji anawakanyaga juu kisa ardhi imejaa madhambi,liko dhehebu moja waumini walilazimishwa kula majani,huko Zambia jamaa mmoja alitoa amri azikwe mzima atafufuka hadi leo hajanyanyuka,huko Ghana kuna dhehebu moja waumini wa kike wanafundishwa jinsi ya kufanya tendo la ndoa kumfurahisha mumewe,Liko lidada limoja hapa Tanzania kwenye facebook lina macho gololi makubwa mahubiri yake yote siku zote ni kuwaambia wanawake wenzake usimnyime mume haki yake.Hakuna dini ilinayochezewa kuliko Ukristo.

Mwaka jana karibia december mchungaji mmoja aliniomba nimpe mchango ajenge kanisa lake nikamkubalia ajabu Christimass ilivyokaribia bado siku mbili mdada mmoja kanipigia simu kuwa yeye ni sectetary wake nimtumie mchango.Nikamjibu nitakutumia baada ya xmass na mwaka mpya ulipopita hadi leo hajaniuliza.

Ndoa nyingi zimeyumba na kuvunjika shauri ya wanawake kuingia kwenye haya makanisa.Mzee mmoja namuhifadhi kaingia kwenye kanisa flani akaambiwa auze mali zake zote.Bahati mkewe alikuwa msomi sana akazuiya hilo zoezi mama akaona mume limekuwa seng?????e hili wakaamua kutengana yule mama akaenda dar kafungua hado petrol station akawa tajiri na kanisani hakosi.

Kwa waislam huwezi kuta hii kitu hata siku moja hakuna mmiliki wa msikiti ukijenga msikiti kwa hela zako unaweza ukaenguliwa na kamati ukifanya mafiongo msikiti ni mali ya waumini.

Siku YESU akirudi atasema jamani haya siyo yale mafundisho niliyoyaacha.

Siku moja nilikuwa nimekaa kwenye basi na mtani wangu nikamuambia hivi kwanini wakristo ni rahisi kuingizwa mkenge kuliko waislam akanijibu mtani nyamaza watu wasisikie tutaongea tukishuka.
Naukubali uislam sio dini ya kinafiki nina mpango wa kusilimu kama alivyofanya Pierre Liquid
 
😀😀😀

Kazi ushapata au hujasikia kwa huyo pasta hakuna jobless😀
😹😹😹
Pasta katisha sana, au dada ongea tu na shemeji amwambie rafiki yake Trump anifanyie mpango hata wa kumuandalia chai White house 🤣
 
Miujiza mingi aliyoitenda nani Leo mwanaume ata-teendaa ah,

Goligotha shetaani aliiipata mwanadamu pale tulikombolewa aah...

Hata bado Leo Yesu ashangaza uje kwake miujiza anatendaa anaponya Yesu aokoa.....

Uje kwake upate kuponywaa

Hakuna kweli ..... Hakuna

Aliye mwanaume kama Yesu

Hakuna kweli hakuna secretarybird
Aimeen!
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Utumishi wa kweli upo moyoni mwako. Kuwa mtu mwema (kadri ya uwezo wako) ndani ya jamii unamoishi. Tenda mema, tii sheria za nchi pamoja na maadili ya jamii uliyomo.
 
Back
Top Bottom