Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
 
Ndio China wanafanya ili kuzalisha bidhaa nyingi kwa ajili ya kuwauzia nyie vilaza?

Unaenda kanisani kusali ili upate ajira kutoka kwa wachina ambao wao hawajui hata definition ya kanisa na daily wana flood Africa na bidhaa?
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
ccm bado itaendelea kutawala kama waranzania wenyewe ndo hawa.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
😂😂😂😂😂 Lipia tangazo.
 
Kwani yeye anauza bei gani chumvi, mafuta, leso, maji, udongo, na sabuni za upako. Ni vizuri ndugu zetu wajinga wakatambua mapema kabla ya kuja huko kuliwa hela zao.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Kuna Mungu wa kweli.. sio mtumishi wa kweli
 
Hii Promo imekaa kimkakati sana, waumini wapo utalokota tu.
 
Hii nayo ni promotion kwani kama una afya njema na unapata mahitaji yako ya msingi huo tayari ni muujiza kutoka kwa Mungu. Mambo mengine ( Pesa, kazi na ajira) ni jitihada zako na uwezo wako katika kufanikiwa kuwa nayo.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Mpotoshaji wewe.
Imeandikwa wapi kuwa mtumishi wa kweli ni yule mwenye karama?
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Badala ya kuwaua akina Soka, Samia angekuwa anaua wajinga kama wewe
 
Back
Top Bottom