Kuna kanisa moja dogo lipo Kigamboni, naomba utembelee hapo kama unahitaji kukutana na mtumishi wa kweli na utanishukuru

Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .🥺🙇🏿‍♂
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Wewe uliolewa baada ya kwenda kuombewa?
 
Unaacha kuwapa wenzako michongo ya maana, unawalete habari za kupumbazana akili
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .

1.Ulitumia njia gani kuwajua waumini wote kipindi wanaanza Ibadan hadi wanamaliza chuo miaka 3 plus kua wamepata ajira?
2.Uliwezaje kuwafuatilia wanafunzi wote kiasi kujua hadi siku za harusi zao na wanaume waliowaoa
Je tukisema wewe ni muongo,mshabiki,mzandiki na mpumbavu tutakua tumekutukana?
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Saizi makanisa nayo yana_mawinga?
 
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
Kusikia Kwa Kenge, Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Mtumishi elekeza vizuri, kondoo tuje.....
 
Miujiza mingi aliyoitenda nani Leo mwanaume ata-teendaa ah,

Goligotha shetaani aliiipata mwanadamu pale tulikombolewa aah...

Hata bado Leo Yesu ashangaza uje kwake miujiza anatendaa anaponya Yesu aokoa.....

Uje kwake upate kuponywaa

Hakuna kweli ..... Hakuna

Aliye mwanaume kama Yesu

Hakuna kweli hakuna secretarybird
 
Natamani ningekuwa wa kwanza kukujibu, ningesema
Kumanyoko.......
 
Ndio China wanafanya ili kuzalisha bidhaa nyingi kwa ajili ya kuwauzia nyie vilaza?

Unaenda kanisani kusali ili upate ajira kutoka kwa wachina ambao wao hawajui hata definition ya kanisa na daily wana flood Africa na bidhaa?
Exactly 💯 💯 👇👇👇
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Mmeanza tena utapeli mpaka huku jf. Mungu hana dalali bana ache ni upuuzi.
 
😹😹😹
Aririririiiiiiiiiiiiiiiiiii harusi tunayo, na msafara wa harusi gari cybertruck tu hatutaki vibakuli 🤣

Huyo mchungaji akifanikisha hilo naomba kazi X dada, najua utamshawishi shem E musk 😹
Msinisahau na mimi tafadhali kwenye hiyo harusi,
Nitakua msimamizi mkuu upande wa vinywaji,
Naahidi sitawaangusha.
 
Huyo mchungaji wenu amefanya kanisa lenu kuwe na mabilionea wangapi?

Maana muujiza mkubwa duniani ni kua na pesa tu.
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .

Dhima ya Ukristo sio hii uliyoandika...

Na hii ndio amri ya kwanza kwa yeyote anayeamini, halafu hayo mengine ni ziada...

Biblia imeandika

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Mtu ukishakuwa Mkristo (true Christian), sadiki nakwambia hayo magonjwa, nira, laana zinapaswa zikimbie zenyewe kwa sababu ya utauwa ndani yako...
 
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .

Na hawa ndo watumishi wa kweli .

Nitatoa ushuhuda ufuatao .

Pale katika kanisa lake 90% ya wanaosali ni vijana wa Chuo na pale hakuna hata Kijana mmoja anamaliza chuo na kubaki Mtaani kuwa Jobless .

Ndoa - Wadada pale sijawaiga kuona wanakosa ndoa na vijana kukosa wake.

Mimi sio MTU wa dini Ila kuna watu wana karama za kweli za kuombea watu na kufanikiwa .
Makanisa makubwa yenye ukwasi wa waumini na Pesa wanazingua sana

Kwanza Watumishi wao wana maringo na swaga na kujali waumini wenye vipato

Makanisa madogo kwanza waumini wake Wana ushirikiano sana, Mchungaji anajua waumini wake na kuweza kuwafuatilia

Makanisa makubwa uje kanisani usije hakuna atakaekuuliza
 
Unataka kusema vijana wote waliosoma mfano ualimu wapo kama laki mbili wote hao wakija kusali hapo wataajiriwa.
 
Back
Top Bottom