Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika.
Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao
Ni kwanini wanawake hawataki usawa kwenye majukumu ya wanaume ?
Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao
- Kufua nguo - Kuna wanaume wameoa lakini wanafua nguo,
- Kupika - Kuna wanaume wanaingia jikoni kupika, wake zao wapo sebuleni
- Kupasha maji ya kuoga - Umetoka au unaenda mihangaikoni, ujipashie maji
- n.k.
Ni kwanini wanawake hawataki usawa kwenye majukumu ya wanaume ?
- Ada za watoto
- Mavazi ya watoto
- Matibabu ya watoto
- Matumizi ya mke (inabidi nao wakupe hela ya matumizi)
- Hela ya chakula kila siku
- Bili za umeme na maji
- ulipie kingamuzi
- matumizi ya wazazi wako
- Matumizi ya wazazi wa mke
- Kusomesha ndugu zako na wa mke
- pocket money ndugu zako na mke